Utaelewa paniki ikiisha.Sidhani kama nimekuelewa..
Panya huyo anang'ata na kupuliza"We need to stick with him."
Ryan Giggs has backed Jose Mourinho to turn Manchester United's season around and says sacking him will not change anything.
Watch the full interview here: Ryan Giggs backs Jose Mourinho to turn Manchester United around
Kaona ugumu wa ukocha kachapwa na albania kule henry vichapo viera vichapoPanya huyo anang'ata na kupuliza
Kaona ugumu wa ukocha kachapwa na albania kule henry vichapo viera vichapo

Ile game ya kwanza madogo walicheza? Kwani man u hawakucheza?Leo sare au mnaotewa kimoko,
Ile game ya kwanza madogo ndio walicheza ,
Gafla papatupapatu, mkapata eti magoli
Leo mkisare, next game mnaenda mestalla , mnaenda kuzikwa na kuelekea futuhi ,kwenye epl mtamaliza nafas ya 8
mashabki wa asenali bhna......ss tukija futuhi si utakosa ubingw@?Hata shuti ON TARGET MOJA mmeshindwa kupiga,
Narudia kusema ile game ya kwanza mlicheza ovyo sana, madogo walitawala mpira, cha ajabu mkashinda magoli 3.
Leo na uhakika mnasare, labda itokee papatupapatu tena
Ila mnasare au mnazabukiwa kimoko
Then next game mnaenda spain mnaenda mnapigwa ,mnakuwa sawa point na valencia, wewe unaelekea FUTUHI ,
Naenda kulala nikiamka baadae nataraji kukuta matokeo NEGATIVE , mkishinda basi ni papatupapatuView attachment 948595
Pole. Inaonekana roho imekuuma sana.Kipofu kaona mwezi