radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Mkuu kwa timu yetu kutegemea pogba atatengeneza nafasi ngumu sana na tutasubirLeo kacheza chini ya kiwango kwa sababu ya majeruhi aliyoyapata so far lingard aliharibu muunganiko wa timu.
Mkuu kwa timu yetu kutegemea pogba atatengeneza nafasi ngumu sana na tutasubirLeo kacheza chini ya kiwango kwa sababu ya majeruhi aliyoyapata so far lingard aliharibu muunganiko wa timu.
Matic kachoka sana na amekuwa mzito hasa lakini Mourinho anaendelea kumtumia kwa sababu nje hana mbadala.
Mkuu kwa timu yetu kutegemea pogba atatengeneza nafasi ngumu sana na tutasubir
Labda ila kwa sasa sina imani nae sanaHapana pogba ni muhimu sana kwa Man u ya sasa sema kinachoonekana wazi ni wachezaji kuloose confidence kabisa.
Hivi mkuu ni kweli nje hana mbadala?unajua Herrera amecheza DM kwa ubora sana kabla ya matic?tena naweza kusema Matic hajafikia ubora wa Herrera wa DM.
Hata dogo Pereira amechezeshwa DM na amefanya poa sana.
Labda ila kwa sasa sina imani nae sana
Mzee baba unaangalia mpira lakini?Tottenham hawanisumbui kichwa kabisa.. me najipigia tu
Hapana pogba ni muhimu sana kwa Man u ya sasa sema kinachoonekana wazi ni wachezaji kuloose confidence kabisa.
Hivi mkuu ni kweli nje hana mbadala?unajua Herrera amecheza DM kwa ubora sana kabla ya matic?tena naweza kusema Matic hajafikia ubora wa Herrera wa DM.
Hata dogo Pereira amechezeshwa DM na amefanya poa sana.
Hii ya kusema wachezaji waondoke sijui wanaosema hivyo wana malengo gani? Hapa tatizo ni kocha tu,na kocha ndio anatakiwa kuondoshwa.
Daah jamani huyu tot kutupiga sisi Tatu haikuwa bahati mbaya
Andreas pereirraMatic kachoka sana na amekuwa mzito hasa lakini Mourinho anaendelea kumtumia kwa sababu nje hana mbadala.
Tena Jones anaiweza kazi sanaAndreas pereirra
Fred
Ander hererra
Scot mctominey
Phil jones(anaweza kucheza km holding midfield)
HahahahPropaganda tu kuhonga Forbes muonekane mna pesa kumbe bure kabisa
We jamaa na wewe unasema Mou aondoke? Nakumbuka ulikuwa ni mlinzi wake hasa, labda kama nimekoseaSolution; MORINHO AONDOKE..!! hata ukileta kikosi chote cha city plus messi neymar na ronaldo ukampa morinho lakini bado atagombana na wachezaji na kuua spirit ya timu mwisho wa siku timu itabaki kuwa mbovu vilevile..!
Huyo mtoto nyie hamumuwezi mkuu dawa yake tunayo sisi CityDaah jamani huyu tot kutupiga sisi Tatu haikuwa bahati mbaya