Hivi lukaku wa nini shenzi sana unawatoa mata na pogba unaliacha garasa lukaku
Bado tuu mnalinganisha city na united?Crystal Palace pale Mbele wangetulia wangeshinda hii game...
Man City wapo miles nyingi Mbele kulinganisha na United daaah.
Kuna mchambuzi anakili kwamba Matic amechoka kawa Mchicha
Hoja nzuri sana
Maajabu sana,Fred yupo bench unamuingiza Sanchez akacheze kama kiungo.
Hivi bado mnataka José aendelee kujenga timu?apewe pesa anunue watu alioshindwa kuwatumia?
Kocha leo kazingua vibaya sana unamtoa pogba unamuingiza sanchez badala ya fred? Lingard si mchezaj wa kuanza unaacha nje sanchez mata anatoka unaingiza fellain du
Hii timu leo mchezaji mbovu kabisa anaonekana ni Matic lakini kocha anatoa mata na lingard anayejituma kila mahali.
Pogba hakuwa na umuhimu mech ya leo palitakiwa kuwa fred au herrera hata perreiara hii ilikuwa mech yakeMkuu nadhani baada ya pogba kutoka unapona kati panavyoteleza.
Ahaaa ahaaaaaApart from Fellaini hair cut, there was nothing new!
Utumbo huu wa leo hana nafasi anaharibu morali ya players hapa kidogo nimeshangaa yani fred anasugua? Hata sanchez hawez kusubir kwa lingard pamoja na ubovu wake
Maajabu sana,Fred yupo bench unamuingiza Sanchez akacheze kama kiungo.
Hivi bado mnataka José aendelee kujenga timu?apewe pesa anunue watu alioshindwa kuwatumia?