radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Mkuu tutachukua kwa nani sasa point 3?Wakuu poleni sana.Bora point 1 kuliko 0.
Mkuu tutachukua kwa nani sasa point 3?Wakuu poleni sana.Bora point 1 kuliko 0.
Hoja nzuri sana
Hatimaye mumerudi...Bado siku 6 kabla hatujarudi OT dhidi ya The Eagles View attachment 938306
Utumbo huu wa leo hana nafasi anaharibu morali ya players hapa kidogo nimeshangaa yani fred anasugua? Hata sanchez hawez kusubir kwa lingard pamoja na ubovu wake
Wewe kaa kimya una kazi nzito sana leo maturubai yapo kwako leoMan united mnashangazaà..!!
Kama ulimuona sanchez ilibidi ashuke chini kutafuta mipira hii ina maana kwamba hamna viungo waliokuwa wanalisha washambuliaji tuna bonge la timu sijui huyu kocha anachemka wapiJosé ni wakufukuza tu,dakika chache alizocheza Sanchez ameonyesha ni kwanini hatakiwi kukaa bench.
Matic amechuja ila anaanza kwakuwa kocha anapenda wachezai warefu.
Tottenham hawanisumbui kichwa kabisa.. me najipigia tuWewe kaa kimya una kazi nzito sana leo maturubai yapo kwako leo
Kama uliangalia mechi zilizopita, sanchez hakustahili hata kuwa ktk benchi. Haeleweki. Akiamza anacheza madudu.José ni wakufukuza tu,dakika chache alizocheza Sanchez ameonyesha ni kwanini hatakiwi kukaa bench.
Matic amechuja ila anaanza kwakuwa kocha anapenda wachezai warefu.
Wakiamza pia mtalaumu kwa nini wameanza.Inabidi tukubaliane kuwa Mourinho timu imeshamshinda na pia tuna wachezaji wachovu ambao pia mourinho ndo anawapa nafasi zaidi..Dalot anakaaje benchi??..Fred anakaaje bench??
Young
Matic
Pogba
Fellain
Jones
Lingard
Smalling
Jones
Hizu njemba za kutupia sokon mapena
Kama ulimuona sanchez ilibidi ashuke chini kutafuta mipira hii ina maana kwamba hamna viungo waliokuwa wanalisha washambuliaji tuna bonge la timu sijui huyu kocha anachemka wapi
Hapana pogba ni mjeur walitoka wakina beckham na majina yaoYoung bado yuko vizuri tu , pogba kumuuza ni sawa trademark ya timu kwa sasa
Kama uliangalia mechi zilizopita, sanchez hakustahili hata kuwa ktk benchi. Haeleweki. Akiamza anacheza madudu.
Hapana pogba ni mjeur walitoka wakina beckham na majina yao
Sasa mkuu,kiungo amebaki Fella na Matic unategemea nini? Fred ametulia bench.
Kama ni sub basi mchezaji wa kwanza kutoa alikuwa Matic maana amesababisha hatari nyingi sana kwa uzembe.a