Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Martial na pogba ni kweli wanaisaidia timu lakini kiukweli ndio wanaoiharibu timu.

Kuanzia viburi vyao, uchezaji wao (kwy seriousness wao wanaleta utani na utoto)

Sifikiri kama wanastahili kuwa wachezaji wa Manu, ni vile tu timu haina wachezaji bora kwasasa......coz hawajitumi kwa jasho, kamasi na mate. Wanachukulia poa na usupastaa mwingi. Hata Furgarson mwenyewe wangetibuana.
 
Mkuu nadhani baada ya pogba kutoka unapona kati panavyoteleza.
 
Back
Top Bottom