Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kilichomponza Bailly, mechi 2

Mechi Brighton na mechi ya Newcastle

He had his chance. Tungekuwa bado tuna FA tungesema apewe mechi za FA ili arudishe confidence iliyopotea. Unless tusubiri Carabao Cup ili apewe nafasi.

After all, at least Smalling na Lindelof wameonesha stability pale nyuma (ANGALAU)

Nadhani Mourinho inabidi awaamini zaidi Mata, Herera na Fred (awape mechi nyingi zaidi)
mkuu umesahau kidogo tumetolewa carabao na si FA.
ina maana tumsubiri eric bailly hadi mwezi januari ndio apewe nafasi?
si ndio atazidi kupoteza confidence na kuonekana ni usajili wa ovyo.
nyakati za fergie unakumbuka wes brown alikuwa anatufungisha pamoja na kaka yake mikel silvestre lakini fergie bado aliendelea kuwapa nafasi.
kuna taarifa zinadai victor lindeloff amepata majeruhi kama ni kweli basi pengine eric bailly atapewa tena nafasi ya kucheza na kurekebisha matatizo yake.
eneo la ulinzi linahitaji rotation kwa kiasi kikubwa hata kama wachezaji ulionao ni wa kawaida kiviwango.wachezaji wanaocheza kikosi cha kwanza kila siku na wao pia ni binadamu wanaweza kukutwa na majeruhi.
uwepo wa laporte na stone unawafanya wapenzi wa man city wawasahau otamendi na kompany.
nakumbuka kuna mechi tulipiga na inter milan ya mourinho huku vidic akiwa benchi lakini mbadala wake aliweza kusimama na ibrahimovic ndani ya sansiro/giuseppe meazza stadium.
ni maoni yangu lakini na sijakamilika pengine wewe upo sahihi.
 
Mkuu wote tuna hasira, tunatakiwa kuwa na uvumilivu tu

Pale United tatizo ni kubwa zaidi ya kocha. Makocha 2 na huyu aliyepo ni wa 3 lakini bado timu haifanyi vizuri. Hilo tu linapaswa kutuonesha tatizo lilipo pale ni zaidi ya kocha.

Tena kati ya hao makocha 3, huyu wa sasa ndio amepata mafanikio kuliko wenzake
Yes mkuu inaumiza na kusikitisha sana tuna scheme mbovu sana yani sahizi hata young players wakusema tuwalete pale tujenge kikosi hawawezi kufit kabisa
 
mkuu umesahau kidogo tumetolewa carabao na si FA.
ina maana tumsubiri eric bailly hadi mwezi januari ndio apewe nafasi?
si ndio atazidi kupoteza confidence na kuonekana ni usajili wa ovyo.
nyakati za fergie unakumbuka wes brown alikuwa anatufungisha pamoja na kaka yake mikel silvestre lakini fergie bado aliendelea kuwapa nafasi.
kuna taarifa zinadai victor lindeloff amepata majeruhi kama ni kweli basi pengine eric bailly atapewa tena nafasi ya kucheza na kurekebisha matatizo yake.
eneo la ulinzi linahitaji rotation kwa kiasi kikubwa hata kama wachezaji ulionao ni wa kawaida kiviwango.wachezaji wanaocheza kikosi cha kwanza kila siku na wao pia ni binadamu wanaweza kukutwa na majeruhi.
uwepo wa laporte na stone unawafanya wapenzi wa man city wawasahau otamendi na kompany.
nakumbuka kuna mechi tulipiga na inter milan ya mourinho huku vidic akiwa benchi lakini mbadala wake aliweza kusimama na ibrahimovic ndani ya sansiro/giuseppe meazza stadium.
ni maoni yangu lakini na sijakamilika pengine wewe upo sahihi.
Mkuu asante kwa masahihisho, ni kweli FA mchakamchaka wake utaanza mwakani

Ni kweli Bailly anahitaji mechi ili arudi mchezoni. Swali je, kwa sasa tunaweza ku afford kufanya majaribio? (kumbuka tupo katika wakati mgumu ambao tunahitaji kila pointi iliyopo mbele yetu)

Ninachotaka kusema, kocha anakuwa comfortable kufanya rotation ya wachezaji kama hayupo desperate ya kupata pointi ( kama ilivyokuwa kwa SAF)

Lindelof alipata maradhi (si physical injury)katika mechi ya kwanza ya kimataifa kwahiyo kuna uwezekano mkubwa akawa fiti ligi itakaporejewa. Ngoja tusubiri tuone

Lakini pia sisi mashabiki wakati mwingine tunageukageuka, kuna wakati tunataka kocha afanye rotation na kuna kipindi tunamshangaa kocha kubadilibadili wachezaji na kusema kuwa haijui hata first eleven yake
 
Nafikiri Giggs anaweza kutupeleka mahali japo hana experience kubwa. Guardiola aliweza kupewa team na akafanya makubwa vivyo hivyo kwa Dimateo alifanya vizuri.

Man u inahitaji insider wa kuinyanyua au kocha mwenye vision ambaye kama pochetino au Jardim
mpira wa sasa hivi experience si muhimu sana ila cha umuhimu ni akili yako iwe inakwenda na wakati, na hilo ametuthibitishia josep guardiola.
bahati mbaya wanadamu hatuna uwezo wa kufahamu kile anachokiwaza mwenzako, kama giggs maarifa yake yanakwenda na wakati basi anatufaa pindi klabu itakapochoshwa na mourinho mwaka wowote ule, ila kama akili zake ni kama za arsene wenger au makocha wengine wa kiingereza tatizo litaendelea kubaki pale pale.
kiupande wangu mwanzoni mwa mwezi wa 9 nilishauri humu endapo kama klabu itakapoamua kuachana na mourinho basi kimbilio letu la kwanza liwe kwa carlo ancelotti na si zidane kwa sababu ancelotti ndiye mwanadamu pekee aliye na umri zaidi ya miaka 55 anayefahamu mabadiliko ya nyakati za soka.
halafu baadae atakapofanikiwa kujenga msingi mzuri wa timu pamoja na kurudisha hali ya hewa nzuri kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na wachezaji tutamtafutia sababu yoyote ya kijinga ili tumuondoe ndipo tumpe timu mtu kama giggs au nicky butt.
naamini carlo ancellotti hatoshindwa kujenga timu nzuri kwa miaka 2.
 
eti sababu yoyote ya kijinga ili kumtimua
 
Mkuu asante kwa masahihisho, ni kweli FA mchakamchaka wake utaanza mwakani

Ni kweli Bailly anahitaji mechi ili arudi mchezoni. Swali je, kwa sasa tunaweza ku afford kufanya majaribio? (kumbuka tupo katika wakati mgumu ambao tunahitaji kila pointi iliyopo mbele yetu)

Ninachotaka kusema, kocha anakuwa comfortable kufanya rotation ya wachezaji kama hayupo desperate ya kupata pointi ( kama ilivyokuwa kwa SAF)

Lindelof alipata maradhi (si physical injury)katika mechi ya kwanza ya kimataifa kwahiyo kuna uwezekano mkubwa akawa fiti ligi itakaporejewa. Ngoja tusubiri tuone

Lakini pia sisi mashabiki wakati mwingine tunageukageuka, kuna wakati tunataka kocha afanye rotation na kuna kipindi tunamshangaa kocha kubadilibadili wachezaji na kusema kuwa haijui hata first eleven yake
hahahaaahaaaaa paragraph ya mwisho umemaliza kila kitu brother. upande mwengine faida ya rotation inakufanya uwe comfortable muda wowote wa mchaka mchaka wa ligi nne kwa msimu tofauti na unapotegemea watu wachache waendeleze gurudumu la mapambano.
licha ya kuwa smalling na lindelof kidogo wametuliza hali ya hewa lakini bado hali yetu haijawa ya kuridhisha hivyo basi inawezekana kocha yupo sahihi kuendelea kuwatumia watu wanne wale wale kila siku kama unavyoamini wewe.
lakini tunarudi pale pale kwa timu ya uhakika rotation inasaidia kupunguza mfumo tegemezi wa wachezaji, waangalie liverpool kilicgowakuta mechi yao na madrid baada ya kuumia mo salah. ni matumaini yangu tutakapokuwa sawa jose mourinho atarudisha mfumo wa rotation squad.
juzi tumemkosa paul pogba tulilalamika wakati majirani zetu walimkosa mchezaji wao bora kelvin de bruyne na bakora zikaendelea vile vile kama kawaida.
 
Ni hoja makini madefender wote wale lazima wapate nafasi ya kucheza waendelee kujenga confidence Moyes alikuwa akimtumia Phil Jones hadi kwenye nafasi ya kiungo mkabaji na alikuwa akifanya vizuri sana.
Mfano mzuri ni mechi yetu na Bayern pale OT Jones aliwateketeza kina Bastian na wenzake mpaka na game iliyofuata walipoteana kwanini hata asimtumie hapo kumpumzsha matic ambaye amechoka kiasi cha kuwa mzito kama tractor la Fiat ?.
mkuu umesahau kidogo tumetolewa carabao na si FA.
ina maana tumsubiri eric bailly hadi mwezi januari ndio apewe nafasi?
si ndio atazidi kupoteza confidence na kuonekana ni usajili wa ovyo.
nyakati za fergie unakumbuka wes brown alikuwa anatufungisha pamoja na kaka yake mikel silvestre lakini fergie bado aliendelea kuwapa nafasi.
kuna taarifa zinadai victor lindeloff amepata majeruhi kama ni kweli basi pengine eric bailly atapewa tena nafasi ya kucheza na kurekebisha matatizo yake.
eneo la ulinzi linahitaji rotation kwa kiasi kikubwa hata kama wachezaji ulionao ni wa kawaida kiviwango.wachezaji wanaocheza kikosi cha kwanza kila siku na wao pia ni binadamu wanaweza kukutwa na majeruhi.
uwepo wa laporte na stone unawafanya wapenzi wa man city wawasahau otamendi na kompany.
nakumbuka kuna mechi tulipiga na inter milan ya mourinho huku vidic akiwa benchi lakini mbadala wake aliweza kusimama na ibrahimovic ndani ya sansiro/giuseppe meazza stadium.
ni maoni yangu lakini na sijakamilika pengine wewe upo sahihi.
 
Ni kweli Man u kama ikiamua kuwekeza kwa insider wake au kwa mtu mwingine ambaye ataweza kujenga team kwa haraka itafaa zaidi.

Mimi ni muumini sana wa makocha vijana kwa soka la kisasa naona kina Giggs na wenzake ambao wamekaa muda mrefu kwenye team toka Generation ya 1999
mpira wa sasa hivi experience si muhimu sana ila cha umuhimu ni akili yako iwe inakwenda na wakati, na hilo ametuthibitishia josep guardiola.
bahati mbaya wanadamu hatuna uwezo wa kufahamu kile anachokiwaza mwenzako, kama giggs maarifa yake yanakwenda na wakati basi anatufaa pindi klabu itakapochoshwa na mourinho mwaka wowote ule, ila kama akili zake ni kama za arsene wenger au makocha wengine wa kiingereza tatizo litaendelea kubaki pale pale.
kiupande wangu mwanzoni mwa mwezi wa 9 nilishauri humu endapo kama klabu itakapoamua kuachana na mourinho basi kimbilio letu la kwanza liwe kwa carlo ancelotti na si zidane kwa sababu ancelotti ndiye mwanadamu pekee aliye na umri zaidi ya miaka 55 anayefahamu mabadiliko ya nyakati za soka.
halafu baadae atakapofanikiwa kujenga msingi mzuri wa timu pamoja na kurudisha hali ya hewa nzuri kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na wachezaji tutamtafutia sababu yoyote ya kijinga ili tumuondoe ndipo tumpe timu mtu kama giggs au nicky butt.
naamini carlo ancellotti hatoshindwa kujenga timu nzuri kwa miaka 2.
 
hahahaaahaaaaa paragraph ya mwisho umemaliza kila kitu brother. upande mwengine faida ya rotation inakufanya uwe comfortable muda wowote wa mchaka mchaka wa ligi nne kwa msimu tofauti na unapotegemea watu wachache waendeleze gurudumu la mapambano.
licha ya kuwa smalling na lindelof kidogo wametuliza hali ya hewa lakini bado hali yetu haijawa ya kuridhisha hivyo basi inawezekana kocha yupo sahihi kuendelea kuwatumia watu wanne wale wale kila siku kama unavyoamini wewe.
lakini tunarudi pale pale kwa timu ya uhakika rotation inasaidia kupunguza mfumo tegemezi wa wachezaji, waangalie liverpool kilicgowakuta mechi yao na madrid baada ya kuumia mo salah. ni matumaini yangu tutakapokuwa sawa jose mourinho atarudisha mfumo wa rotation squad.
juzi tumemkosa paul pogba tulilalamika wakati majirani zetu walimkosa mchezaji wao bora kelvin de bruyne na bakora zikaendelea vile vile kama kawaida.
Ni kweli mkuu rotation ina umuhimu sana

Inafanya wachezaji wasichoke sana

Inasaidia kupunguza injury kutokana na mchezaji kutumika sana kwa kipindi kifupi

Lakini pia inafanya kuwe na happy squad kwa maana wachezaji wote wanapata nafasi ya kucheza

Mechi ya City nafasi ya Pogba hata angemchezesha Mata au Pereira bado naamini timu ingecheza vizuri zaidi
 
eti sababu yoyote ya kijinga ili kumtimua
unajua carlo ancelotti hana tabu na mtu yeyote.
  • angalia walichomfanyia bayern munich
  • angalia walichomfanyia chelsea
  • angalia walichomfanyia real madrid.
na sisi akishatutengenezea utatu mtakatifu kwenye eneo la kiungo na ushambuliaji tutamtimua.
👲👲👲
 
Lakini pia kikosi cha sasa cha Man u kinahitaji marekebisho makubwa kuna kundi kubwa la wachezaji ambao ama wamechoka sana au wamepoteza maana ya wao kuwa sehemu ya Man u squad.

Kuna haja ya kuondoa wachezaji wengi sana pale hasa ambao age yao inarange 30yrs plus na wale ambao hawana consistency uwanjani.
Mfano.
Valencia , Romero, Phil Jones , Ashley Young , Maroun fellain , Matteo Darmian , hili kundi. Linahitaji kuwa offloaded kwenye team ziingizwe damu mpya kwajili ya kujenga team upya.

Usajili wa Man u msimu huu umefanyika katika mwelekeo huo kwa kusajili vijana zaidi suala la msingi wapewe nafasi ili waweze kuimarika.

Naikumbuka game ile ya ngao ya hisani ambayo first half tulipigwa goli mbili na Man city second half Ferguson alifanya mabadiliko kwa kuwatoa wazee wote wakaingia vijana wachanga wakakichafua man city akalala tatu
 
mkuu umesahau kidogo tumetolewa carabao na si FA.
ina maana tumsubiri eric bailly hadi mwezi januari ndio apewe nafasi?
si ndio atazidi kupoteza confidence na kuonekana ni usajili wa ovyo.
nyakati za fergie unakumbuka wes brown alikuwa anatufungisha pamoja na kaka yake mikel silvestre lakini fergie bado aliendelea kuwapa nafasi.
kuna taarifa zinadai victor lindeloff amepata majeruhi kama ni kweli basi pengine eric bailly atapewa tena nafasi ya kucheza na kurekebisha matatizo yake.
eneo la ulinzi linahitaji rotation kwa kiasi kikubwa hata kama wachezaji ulionao ni wa kawaida kiviwango.wachezaji wanaocheza kikosi cha kwanza kila siku na wao pia ni binadamu wanaweza kukutwa na majeruhi.
uwepo wa laporte na stone unawafanya wapenzi wa man city wawasahau otamendi na kompany.
nakumbuka kuna mechi tulipiga na inter milan ya mourinho huku vidic akiwa benchi lakini mbadala wake aliweza kusimama na ibrahimovic ndani ya sansiro/giuseppe meazza stadium.
ni maoni yangu lakini na sijakamilika pengine wewe upo sahihi.
Eric Bailly alisajiliwa na Mourinho huu ni msimu wake wa 3 jiulize Kwa nini misimu 2 iliyopita mbona alikuwa hawekwi bench ?

Hata msimu huu mechi za Kwanza Bailly alikuwa beki chaguo la kwanza

Msimu huu kuna makosa ameyafanya ni ngumu Sana kocha ataendelea kukupanga na kibaya zaidi timu inafanya vibaya hata kama wewe ndio kocha na kwenye professional football hakuna kocha atakayekupanga kama unarudia kufanya makosa unless awe hana wachezaji wengine . Martial,Lindelof,Shaw hawa wote walikuwa wanapigwa benchi lakini now wapo kikosi cha kwanza

Hata Pep tayari anayo defence yake ambayo ndio inaanza mechi nyingi (Walker, Mendy,Laporte,Stones)
 
Japo Mimi siyo damushin ila naona ubabe wake umepotelea kwenye signings zake. Signings alizofanya yeye mwenyewe kwa utashi wake baada ya kupewa kitita karibia £ 300 mil karibia zote hazifanyi kilichotarajiwa na mbaya zaidi zinafanya vibaya, kwa hiyo hapo lazima na yeye akose sauti kuu ya kuwatemea kibesi wenye timu.
hahahahaaaaa humu ndani kila member ana haki ya kutoa maoni yake muda wowote ule anaojisikia utayari wa kufanya hivyo, wala usijisikie tabu kutoa mawazo yako brother.
unajua mwanadamu kadri unapokutana na changamoto kwenye mfumo wako mzima wa maisha kitu kikubwa kitakachotawala nafsi yako ni mawazo,fikra na maswali yasiokwisha.

hii hali ndio imeikumba klabu ya manchester united nyakati hizi ambapo kwa sasa kila anayehusika na man utd kuanzia sisi wapiga kelele ambao wengi wetu hatujawahi hata kufika old trafford hata kwa njia ya ndoto mpaka yule mfagiaji wa uwanja anauwazia huu mkwamo ulioikumba man utd ndani ya uwanja, hivyo basi hata kama utamfanyia mahojiano ili uweze kukusanya maoni juu ya kinachochangia mkwamo uliopo na yeye atatoa sababu zake bila ya shinikizo lolote kama unavyopaswa na wewe kufanya humu ndani.

Hoja yako ulioiwasilisha kwa maoni yangu nahisi pia ina ukweli kwa asilimia kubwa sana na ndio iliosababisha kuwepo sintofahamu kati ya jose mourinho na ed woodward kwenye biashara ya usajili msimu huu japokuwa ed woodward hajawahi kutamka hadharani sababu zilizopelekea kushindwa kufanya usajili wa baadhi ya demand za kocha.

wachezaji wote aliowasajili jose mourinho huko walikotokea walikuwa ni muhimu kwenye vikosi vyao hivyo basi kwa kuwatumia wale wachezaji aliowaacha LVG na david moyes tulipaswa angalau msimu huu tuwe tayari tumeshajenga timu yenye kueleweka kimfumo wa uchezaji na hicho ndicho anachokiamini ed woodward na mashabiki wake nikiwemo na mimi kwa asilimia 50.

umekuja kwenye klabu umemkuta marcos rojo, degea, valencia, young, mata, rashford, martial,herrera n.k.
Haijatosha nimekuongezea pogba, ibrahimovic,mkhitaryan, bailly ukafanikiwa kutupa makombe mawili msimu wako wa kwanza.

nikaona haitoshi nikamuongeza lukaku,matic, lindelof na ukafanikiwa kutupa nafasi ya pili huku tukicheza zaidi ya mechi 20 msimu mzima bila ya kuruhusu goli kwa defence hii iliopo. Msimu wa tatu nimekupa fred, dalot na wachezaji wote muhimu waliokuwepo msimu uliopita wameendelea kuwepo, haitoingia akilini eti timu ile ile iliyocheza mechi takribani 20 bila ya kuruhusu goli leo hii iruhusu magoli 20 kwenye mechi 12 kwa sababu ya kutokukupa hela ya kumsajili mlinzi mwengine wa kati.
Unajua msimu uliopita kwa defence hii iliopo hatukufikisha mechi 10 tulizoruhusu zaidi ya goli 2 kama sikosei?
unajua msimu uliopita kwa wachezaji hawa wa mbele tulikuwa na takwimu zenye kuridhisha kwenye ufungaji wa magoli tukizidiwa na man city na labda liverpool.

sasa mbona liverpool defence yao ndio ile ile lakini bado wamezidi kuwa imara?

mbona chelsea timu yao ndio ile ile aliyoiwacha conte antonio wakiwa nafasi ya 5 lakini wapo vizuri.
  • je inawezekana kutosikilizwa kwake kimawazo kumemfanya mourinho awe na hasira hivyo basi ameamua kutufanya tuonekane dhaifu kwenye ulinzi ili aonekane madai yake yana ukweli na aonekane nabii msema ukweli kama anavyodhani radika kupitia coment yake moja hapo juu?
lakini tukiangalia upande mwengine wa shilingi hata madai ya jose mourinho na washabiki wake yana ukweli ndani yake nikiwemo na mimi kwa 40%, biashara ya usajili nayo pia ni biashara isiyotabirika kwa asilimia 100, unaweza ukawa na matumaini ya kwamba mchezaji fulani atakuja kukupa kitu kikubwa utakapomsajili lakini ikawa ni kinyume chake hivyo basi itakulazimu umvumilie japo kwa miezi 6 au ukiona improvement yake ni kinyume na matarajio utafute mbadala wake.

jana kwenye mawazo yangu nilizungumzia jinsi gani mzee alex ferguson alivyokuwa anajenga timu yake, lakini kwa hali hii iliofikia si vibaya kama tutaendeleza mfumo huu wa kutumia fedha ovyo kwa dhumuni la kurudisha heshima yetu kwanza halafu baadae tutarudisha falsafa zetu za zamani kwa kumtumia mwalimu mwengine na hii ni kwa sababu jose mourinho tokea aifahamu harufu ya fedha ya kupitia mikono ya bilionea Roman Abramovich hajawahi kuwa muumini wa kujenga timu kwa kutumia mfumo wa academy au kununua wachezaji kwa bei rahisi baadae akawatengeneza.
ina maana bodi walikuwa hawalifahamu hili walipokuwa wanampa ajira?

bila shaka walikuwa wanafahamu ila waliamua kumpa timu kwa dhumuni lile lile la kuhitaji aturudishie heshima yetu japo kwa njia ya kinyume na falsafa za uendeshaji wa timu ya man utd, why wanamgeuka kwa hoja dhaifu eti tulishakupa paundi millioni 60 za usajili wa bailly na lindeloff?

mbona majirani zetu walishawahi kulipa paundi millioni 40 kwa ajili ya mangala ambaye ni flop?

mbona majirani walishalipa paundi millioni 50 kwa ajili ya torres?

mbona majirani walishalipa paundi millioni 30 kwa ajili ya wilfred bony ambaye ni flop?
mbona guardiola alilipa fedha nyingi kwa ajili ya bravo na msimu uliofuata akatafuta kipa mwengine?

mbona josep guardiola licha ya kuwa mpaka januari msimu uliopita alishatuongoza kwa pointi 12 na alifanya usajili wa mlinzi anayeitwa laporte sasa kwa nini mourinho aliyeachwa kwa pointi 20 baada ya ligi kumalizika awekewe kizingiti anapotaka kumsajili mlinzi mwengine wa kati?

mbona alex ferguson alimsajili juan sebastian veron na diego forlan akawa flop na bado aliendeleza kutumia hela.

imani yangu inanifanya niamini ya kwamba bodi ina matatizo na mourinho ana matatizo sasa je ujio wa mkurugenzi wa ufundi ndio utaondoa tatizo la pande mbili hizi?

mimi sijui la muhimu tuombe uhai ili tumshuhudie bosi mpya atakayewatuliza jose na ed woodward.
nimesikia ivan campos anapigiwa upatu kuja man utd na anatokea lille ya ufaransa.
wenye kufahamu mafanikio ya ivan campos tokea akiwa real madrid naomba atuwekee kwa faida ya wote.
 
Eric Bailly alisajiliwa na Mourinho huu ni msimu wake wa 3 jiulize Kwa nini misimu 2 iliyopita mbona alikuwa hawekwi bench ?

Hata msimu huu mechi za Kwanza Bailly alikuwa beki chaguo la kwanza

Msimu huu kuna makosa ameyafanya ni ngumu Sana kocha ataendelea kukupanga na kibaya zaidi timu inafanya vibaya hata kama wewe ndio kocha na kwenye professional football hakuna kocha atakayekupanga kama unarudia kufanya makosa unless awe hana wachezaji wengine . Martial,Lindelof,Shaw hawa wote walikuwa wanapigwa benchi lakini now wapo kikosi cha kwanza

Hata Pep tayari anayo defence yake ambayo ndio inaanza mechi nyingi (Walker, Mendy,Laporte,Stones)
hawa kina lindeloff, luke shaw na antony martial kilichosababisha tuchelewe kuona faida yao kwa muda mfupi kwa mawazo yangu sababu ni hii ya kutokupewa muda wa kutosha ili wapate kuonyesha improvement yao.
hahahahahaaaa ndio narudi pale pale kwenye rotation system. tuacheni na huo mjadala kwa sababu kocha ndio mwenye maamuzi ya mwisho.

kwa nini namtetea eric bailly?
nikiangalia performance yake aliyoionyesha miaka miwili ndani ya klabu halafu leo hii anasugua benchi japokuwa makosa ni yeye mwenyewe inaumiza sana, eric bailly na wakala wake bila shaka huko waliko wanajipa matumaini ya kuwa wanastahili kuanza kikosi cha kwanza mara kwa mara, kivyovyote hali ikiendelea hivi eric bailly hatovumilia tena kukaa benchi na atahitaji kuondoka ili akatafute changamoto mpya.

kwa akili ya kawaida unapoambiwa umchague kati ya eric bailly au smalling mmoja wapo aondoke utamchagua yupi?
jibu litabaki nafsini kwako.
hiki ndicho ninachokiogopa mimi nyakati hizi za uvumi wa tottenham na arsenal kumuhitaji eric bailly.

ukiangalia defence line yetu ni victor lindelof peke yake ndiye mwenye skills nusu ya alivyonavyo eric bailly ila tatizo lake hajachangamka sana.
jose anapaswa amdanganye bailly kama anavyodanganywa mtoto anapopewa pipi, hii itasaidia kumuondolea mawazo ya kutaka kuondoka siku za mbeleni.
nusu na robo ya wachezaji huhama timu wanapowekwa nje.
ni sahihi kumuondoa jones ukamleta maguire au alderwereld lakini itakuwa ni uzembe kama ataondoka eric bailly halafu tukamleta maguire au alderweireld labda tuwasajili wote wawili.
 
Ac Milan anakufa kwa aggrigate ya 7-2..

Huyu mzee Fergie alikuwa shida at some points aisee
IMG_20181121_145323_235.JPG
 
Naikumbuka game ile ya ngao ya hisani ambayo first half tulipigwa goli mbili na Man city second half Ferguson alifanya mabadiliko kwa kuwatoa wazee wote wakaingia vijana wachanga wakakichafua
umetukumbusha mbali sana brother, ile mechi kama naiona kwenye mfumo wangu wa ufahamu muda huu.
nakumbuka kipindi cha pili SAF alimuingiza anderson na tom cleverley eneo la kiungo na pembeni alikuwepo luis nani pamoja na ashley young akiwa kwenye ubora wake mechi za mwanzoni kabla hajapata majeruhi nyakati hizo ndio tunamsajili kutoka aston villa.
ile come back ilikuwa ni noma sana.

yaya toure baada ya kuingiziwa mjinga mwenziwe anderson anayejua kutembea na mipira aliomba mpira umalizike si unajua jamaa akikutana na box to box wenzake anakuwa mnyonge sana.
kwa mfano anapokutana na watu kama ramirez yule wa chelsea au moussa dembele mjomba toure utamuonea huruma.

mwanzoni mwa ligi tulianza vizuri sana lakini majeruhi ya anderso, cleverley, nani, jones yakaturudisha nyuma mpaka tukachukua mzigo wa goli 6 kwa majirani.

huwezi amini mwisho wa msimu man city walichukua ubingwa kwa tofauti sijui ya magoli au pointi 1?

fergie akaona kumbe timu tatizo ni striker rooney na wenzake wameanza kuchoka.
ok ngoja nimsajili robin van persie anirudishie ubingwa wangu halafu niwaachie balaa lenu si munasema nimekuwa mbahili siku hizi.
hehheheheheeee​

dah yule mzee sijui alikuwa ni mchawi?
 
Mkuu Damushin asante kwa hoja zako xilizotimia kama kiungo cha Xavier Hernandez na Iniesta....Mkuu nakazia mno kwa huyu mtu anaitwa Maguire analeardership flani huyu mtu... Pia atasaidia mno beki ziwe imara ingawa kuna stats zinaonesha anapata shida kwenye counter attacks but ni mtu mzuri Sana...... Pia ESPN waliripoti kuwa Ed amegoma kumuapoint Ivan sababu ni mreno mwenzie na Jose pia Mou no empendekeza Jamaa, so anahofia jamaa wataleta urafiki kazini.....

ila usajili wa muhimu kwa Man United ni director alietulia na yupo composed pia awe mbunifu na muwazi.... director ndo afike aongee na Mou kuona malengo ya Mou plus anapofeli kama hatafurahishwa na nyenendo za Mou...Mou aende huyo huyo director apemdekeze kocha mzuri aje wafanye kwa ushirikiano mkubwa.... Honestly navutiwa na Carlo ancelotti na Jardim aliefukuzwa Monaco pale ila kumtoa Carlo pale Napoli ni vigumu mno ukizingatia huu ni Msimu wake wa 1 na lazima anataka atomizer malengo yake Kwanza ndo asepe...... Jardim yupo huru na ni mzuri mno but nae kuna maswali kama atafit united
 
hahahahaaaaa humu ndani kila member ana haki ya kutoa maoni yake muda wowote ule anaojisikia utayari wa kufanya hivyo, wala usijisikie tabu kutoa mawazo yako brother.
unajua mwanadamu kadri unapokutana na changamoto kwenye mfumo wako mzima wa maisha kitu kikubwa kitakachotawala nafsi yako ni mawazo,fikra na maswali yasiokwisha.

hii hali ndio imeikumba klabu ya manchester united nyakati hizi ambapo kwa sasa kila anayehusika na man utd kuanzia sisi wapiga kelele ambao wengi wetu hatujawahi hata kufika old trafford hata kwa njia ya ndoto mpaka yule mfagiaji wa uwanja anauwazia huu mkwamo ulioikumba man utd ndani ya uwanja, hivyo basi hata kama utamfanyia mahojiano ili uweze kukusanya maoni juu ya kinachochangia mkwamo uliopo na yeye atatoa sababu zake bila ya shinikizo lolote kama unavyopaswa na wewe kufanya humu ndani.

Hoja yako ulioiwasilisha kwa maoni yangu nahisi pia ina ukweli kwa asilimia kubwa sana na ndio iliosababisha kuwepo sintofahamu kati ya jose mourinho na ed woodward kwenye biashara ya usajili msimu huu japokuwa ed woodward hajawahi kutamka hadharani sababu zilizopelekea kushindwa kufanya usajili wa baadhi ya demand za kocha.

wachezaji wote aliowasajili jose mourinho huko walikotokea walikuwa ni muhimu kwenye vikosi vyao hivyo basi kwa kuwatumia wale wachezaji aliowaacha LVG na david moyes tulipaswa angalau msimu huu tuwe tayari tumeshajenga timu yenye kueleweka kimfumo wa uchezaji na hicho ndicho anachokiamini ed woodward na mashabiki wake nikiwemo na mimi kwa asilimia 50.

umekuja kwenye klabu umemkuta marcos rojo, degea, valencia, young, mata, rashford, martial,herrera n.k.
Haijatosha nimekuongezea pogba, ibrahimovic,mkhitaryan, bailly ukafanikiwa kutupa makombe mawili msimu wako wa kwanza.

nikaona haitoshi nikamuongeza lukaku,matic, lindelof na ukafanikiwa kutupa nafasi ya pili huku tukicheza zaidi ya mechi 20 msimu mzima bila ya kuruhusu goli kwa defence hii iliopo. Msimu wa tatu nimekupa fred, dalot na wachezaji wote muhimu waliokuwepo msimu uliopita wameendelea kuwepo, haitoingia akilini eti timu ile ile iliyocheza mechi takribani 20 bila ya kuruhusu goli leo hii iruhusu magoli 20 kwenye mechi 12 kwa sababu ya kutokukupa hela ya kumsajili mlinzi mwengine wa kati.
Unajua msimu uliopita kwa defence hii iliopo hatukufikisha mechi 10 tulizoruhusu zaidi ya goli 2 kama sikosei?
unajua msimu uliopita kwa wachezaji hawa wa mbele tulikuwa na takwimu zenye kuridhisha kwenye ufungaji wa magoli tukizidiwa na man city na labda liverpool.

sasa mbona liverpool defence yao ndio ile ile lakini bado wamezidi kuwa imara?

mbona chelsea timu yao ndio ile ile aliyoiwacha conte antonio wakiwa nafasi ya 5 lakini wapo vizuri.
  • je inawezekana kutosikilizwa kwake kimawazo kumemfanya mourinho awe na hasira hivyo basi ameamua kutufanya tuonekane dhaifu kwenye ulinzi ili aonekane madai yake yana ukweli na aonekane nabii msema ukweli kama anavyodhani radika kupitia coment yake moja hapo juu?
lakini tukiangalia upande mwengine wa shilingi hata madai ya jose mourinho na washabiki wake yana ukweli ndani yake nikiwemo na mimi kwa 40%, biashara ya usajili nayo pia ni biashara isiyotabirika kwa asilimia 100, unaweza ukawa na matumaini ya kwamba mchezaji fulani atakuja kukupa kitu kikubwa utakapomsajili lakini ikawa ni kinyume chake hivyo basi itakulazimu umvumilie japo kwa miezi 6 au ukiona improvement yake ni kinyume na matarajio utafute mbadala wake.

jana kwenye mawazo yangu nilizungumzia jinsi gani mzee alex ferguson alivyokuwa anajenga timu yake, lakini kwa hali hii iliofikia si vibaya kama tutaendeleza mfumo huu wa kutumia fedha ovyo kwa dhumuni la kurudisha heshima yetu kwanza halafu baadae tutarudisha falsafa zetu za zamani kwa kumtumia mwalimu mwengine na hii ni kwa sababu jose mourinho tokea aifahamu harufu ya fedha ya kupitia mikono ya bilionea Roman Abramovich hajawahi kuwa muumini wa kujenga timu kwa kutumia mfumo wa academy au kununua wachezaji kwa bei rahisi baadae akawatengeneza.
ina maana bodi walikuwa hawalifahamu hili walipokuwa wanampa ajira?

bila shaka walikuwa wanafahamu ila waliamua kumpa timu kwa dhumuni lile lile la kuhitaji aturudishie heshima yetu japo kwa njia ya kinyume na falsafa za uendeshaji wa timu ya man utd, why wanamgeuka kwa hoja dhaifu eti tulishakupa paundi millioni 60 za usajili wa bailly na lindeloff?

mbona majirani zetu walishawahi kulipa paundi millioni 40 kwa ajili ya mangala ambaye ni flop?

mbona majirani walishalipa paundi millioni 50 kwa ajili ya torres?

mbona majirani walishalipa paundi millioni 30 kwa ajili ya wilfred bony ambaye ni flop?
mbona guardiola alilipa fedha nyingi kwa ajili ya bravo na msimu uliofuata akatafuta kipa mwengine?

mbona josep guardiola licha ya kuwa mpaka januari msimu uliopita alishatuongoza kwa pointi 12 na alifanya usajili wa mlinzi anayeitwa laporte sasa kwa nini mourinho aliyeachwa kwa pointi 20 baada ya ligi kumalizika awekewe kizingiti anapotaka kumsajili mlinzi mwengine wa kati?

mbona alex ferguson alimsajili juan sebastian veron na diego forlan akawa flop na bado aliendeleza kutumia hela.

imani yangu inanifanya niamini ya kwamba bodi ina matatizo na mourinho ana matatizo sasa je ujio wa mkurugenzi wa ufundi ndio utaondoa tatizo la pande mbili hizi?

mimi sijui la muhimu tuombe uhai ili tumshuhudie bosi mpya atakayewatuliza jose na ed woodward.
nimesikia ivan campos anapigiwa upatu kuja man utd na anatokea lille ya ufaransa.
wenye kufahamu mafanikio ya ivan campos tokea akiwa real madrid naomba atuwekee kwa faida ya wote.
Mkuu umeongea mengi, mimi ngoja nichangie kwenye maswali uliyojiuliza.... Kwamba kwa beki hii hii tulikuwa second best defensively last season (only behind Spurs) na nini kimetukuta msimu huu

Jibu linaloonekana dhahiri ni MFUMO MPYA ALIOUCHUKUA MOURINHO WA KUSHAMBULIA. Ukiwatazama United msimu huu wamekuwa wakishambulia zaidi bila kujali wanacheza na nani, hii ni tofauti na misimu miwili iliyopita. Na hili limechangiwa kwa kiasi kikubwa na ingizo jipya la Makocha Wasaidizi Mc Kena na Carrick.

Mfano angalia, game dhidi ya Chelsea, Juventus away na nyumbani, angalia hata ya City (tulipopata mpira tulijaribu kumiliki kadiri ya uwezo wetu). Msimu wa mwaka jana tulipokutana na vigogo ilikuwa ni kupaki basi mwanzo mwisho. Kupaki basi kunaficha udhaifu wa mabeki. Sasa mwaka huu tunashambulia kwahiyo adui akikamata mpira ndio unajua kwamba kweli Smalling ni bora ama laa.

Kwa hiyo beki ya United haina quality ya kutosha, na hilo linadhihirika sasa hivi ambapo tunacheza mpira wa kufunguka zaidi.
 
hawa kina lindeloff, luke shaw na antony martial kilichosababisha tuchelewe kuona faida yao kwa muda mfupi kwa mawazo yangu sababu ni hii ya kutokupewa muda wa kutosha ili wapate kuonyesha improvement yao.
hahahahahaaaa ndio narudi pale pale kwenye rotation system. tuacheni na huo mjadala kwa sababu kocha ndio mwenye maamuzi ya mwisho.

kwa nini namtetea eric bailly?
nikiangalia performance yake aliyoionyesha miaka miwili ndani ya klabu halafu leo hii anasugua benchi japokuwa makosa ni yeye mwenyewe inaumiza sana, eric bailly na wakala wake bila shaka huko waliko wanajipa matumaini ya kuwa wanastahili kuanza kikosi cha kwanza mara kwa mara, kivyovyote hali ikiendelea hivi eric bailly hatovumilia tena kukaa benchi na atahitaji kuondoka ili akatafute changamoto mpya.

kwa akili ya kawaida unapoambiwa umchague kati ya eric bailly au smalling mmoja wapo aondoke utamchagua yupi?
jibu litabaki nafsini kwako.
hiki ndicho ninachokiogopa mimi nyakati hizi za uvumi wa tottenham na arsenal kumuhitaji eric bailly.

ukiangalia defence line yetu ni victor lindelof peke yake ndiye mwenye skills nusu ya alivyonavyo eric bailly ila tatizo lake hajachangamka sana.
jose anapaswa amdanganye bailly kama anavyodanganywa mtoto anapopewa pipi, hii itasaidia kumuondolea mawazo ya kutaka kuondoka siku za mbeleni.
nusu na robo ya wachezaji huhama timu wanapowekwa nje.
ni sahihi kumuondoa jones ukamleta maguire au alderwereld lakini itakuwa ni uzembe kama ataondoka eric bailly halafu tukamleta maguire au alderweireld labda tuwasajili wote wawili.
Mkuu Bailly labda apigwe mkopo kwanza, akikaa sawa ndio apewe majukumu United
 
Muda wenu wa kupumzika una karibia kuisha Ijumamosi mnarudi kwenye Maisha yenu ya Mateso na stress.... ....
.........Tuanze kuandaa maturubai ya Msiba wa Ijumamosi .
 
Back
Top Bottom