Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Sina kumbukumbu ni lini tulishinda 5 baada ya ferguson..Yeap! Natamani tuanze kwa kufurahi, tuitakie Kheri timu pengine nasi tutapiga mtu mkono. Goal difference yetu ni mbovu mno, hivyo hatuhitaji ushindi tu bali ushindi mkubwa.
Lakini Lets hope tutaimarika sina zijazo