Kwa hiyo wew unaamini utamakiza ligi juu ya Chelsea kwa wachezaji sampuli ya Rashford na Lingard..
Sasa kama Barcelona walilipa mkwanja mrefu kwa dembele na coutinho wakamuacha hazard mimi nashindwaje kumpiga chini? Ananunuliwa mariano na madrid anapewa jezi ya ronaldo namba 7 anachwa hazard huoni kama inawezekana?
Bado mchanga kifikra ile post kwako kubwa kuilelewa si ajabu ndo mana mnaumia sana hapaKwaiyo unawaiga barca na Madrid?
Ukiiga kunya kwa tembo utachanika mk...
Wewe ni shabiki au mpingaji wa kocha?
Jama una maneno umisa kweli ha ha haaasasa mkuu hata wew ukiukizws Mou anafundisha nini utajibuje, mana kama ni attacking ndo hayo magunia ya kina Lukaku... Kama ni kukaba ni hizo dakika karibu tatu mpira unatafutwa kwa tochi...
Kiungo anapiga back pass na square pass tu unataka umfananishe na Pogba, ukiambiwa MEMKWA unalalamikaHata mm namuona alikuja na takwimu za yule kiungo wao anapiga pass nyingi wanapasiana na rudiga anakwambia ni bora zaidi ya pogba
Hivi hawa MEMKWA wana legends? Kama wana legends ni ma legends wa nini? Wa kucheza mechi nyingi au?Euros
Club World Cup
Champions League
Premier League
League Cup
Portuguese Cup
Happy birthday to Nani 32 yrs. - on his day he's something elseView attachment 937696View attachment 937697View attachment 937698View attachment 937699
Hahahaha hatar mkuuHivi hawa MEMKWA wana legends? Kama wana legends ni ma legends wa nini? Wa kucheza mechi nyingi au?
Mimi sio fan wa Jose' Mourihno lakini naamini kama angepewa mahitaji yake yote kama pep anavyopewa kwa kipindi hiki cha miaka mitatu,kuna mwaka Jamaa angetupa mafanikio na kuacha timu yenye backup nzuri..
Tunadanganyana tu kuwa pep akipewa hii timu itasumbua pale uingereza..No,sidhani hivyo..lakini naimani itaimprove at some point..
Fagia Fagia inabidi ifanyike,tunawachezaji ambao washachoka na wengine ni bang average..Young,,Smalling,,Valencia,,Mc Tominay,,Jones,,Matic,,Lingard,,Raahford,,Darmian
Inabidi tujitafakari jinsi ambavyo tunafanya sajili zetu aisee..tumekuwa ovyo sana..leo unamsajili Fred then benched,,Dalot then benched..city angalia wanavyosajili..kila sajili inaingizwa kwenye timu,,angalia Laporte,una Mahrez na wengine
Mkuu point yangu kubwa hasa kwenye hiyo comment yangu ni kuwa;
- brother una amini ya kwamba kutokutimiziwa mahitaji yake ya wachezaji anaowahitaji hususan walinzi wa kati ndio sababu ya kuzidiwa na timu kama wattford pamoja na bournermouth msimu huu wakati msimu uliopita tulikuwa nafasi sawa na liverpool kwenye msimamo.
- ule ubabe wa mourinho umekweda wapi?. unakumbuka vita yake na abramovich kuhusiana na usajili wa shevchenko. unaamini ya kwamba mourinho hana kauli mbele ya woodward linapokuja suala la kuwapa mikataba wachezaji kama valencia,lingard,matic,smalling n.k. kama mourinho anashindwa hata kufanya maamuzi ya kuuza wachezaji asiyowahitaji kuna faida gani ya kuendelea kufanya kazi na dikteta ed woodward? mimi naamini mourinho pia anahusika kwenye ishu ya kuwapa mikataba mipya average player kama antonio valencia na wengineo. na hii ndio tofauti nyengine kubwa ninayoiona kati yake na guardiola huyu wa manchester city.guardiola amemuondoa kolarov ila mourinho anashindwa kumuondoa darmian wakati juve walishatuma ofa . uko wapi ule ubabe wa mourinho aliyemuondoa casillas real madrid kwenye kikosi cha kwanza?
- aliyefanikisha dili la fred na diogo dalot ni ed woodward peke yake?.
- anayemweka benchi fred ni ed woodward?
natumia simu ndio maana maelezo yangu yamekuwa mafupi labda ndio maana inawezekana yamekuletea matatizo kuyaelewa lakini pia nakuomba uyarejee tena kuyasoma kama utakuwa na muda.Mkuu point yangu kubwa hasa kwenye hiyo comment yangu ni kuwa;
√Mourinho sio kocha sahihi pale OT kwa maoni yangu,lakini bado naamini kama bodi yetu ingekuwa serious ya inayoyafanya Mourinho angeweza kutupa kitu kwenye hii miaka mitatu na akaacha timu yenye backup mzuri..Ndo maana chelsea haipotei kwenye ramani kihivo..angalia conte alienda stamford bridge na timu ikabeba kombe kwa timu aliyoiacha Mourinho,,conte kaondoka bado Sari anadeliver..Je united toka Fergie aondoke kocha gani ameweza kutupa furaha sisi mashabiki??
√Nimezungumzia fagia fagia ya wachezaji..wewe umesema kuwa Mourinho na Ed Woordward ndo wanaohusika,Je unakumbuka ishu ya Martial??..Ni wazi Mou alikuwa anataka Martial aondoke lakini inasemekana bodi ikawa haikubaliani na hilo..Sasa ni vipi useme kuwa wote wanahusika na kuwapa mikataba wachezaji??
√Mimi naona tatizo letu sio kocha tu..Ed woordward nae naona ni mtu anayeturudisha nyuma..kwahiyo ili turudi kwenye level zetu inabidi structure hii ifumuliwe
√Kuhusu sajili alizozifanya Mourihno,..Mimi naona kuflop kupo..hata barcelona hawapendezwi kuona jinsi dembele anavyocheza huku wao wametoa €100M+..Ikitokea hivi kocha apewe nafasi ya kuwaafload na kuleta wengine..simply like that
Mkuu Damushin una IQ kubwa kusoma matukio ya club pia unatoa ufafanuzi mzuri mno kwa kugusa historia na current situation.... Kuna uongo tunalishwa hapa bila sisi kujua..... Alafu alisema Valencia mgonjwa juzi Valencia kasema yupo fiti na ni technical reason zinamuweka nje.... Kwanini kocha asiwe muwazi?... Mwisho shikamoo Damushin najua hutulazimishi kukubali hali ya club ila muda mwingine board yetu inaonewa kwa sababu haiwezi kutoka nje kumpinga kocha direct
- brother una amini ya kwamba kutokutimiziwa mahitaji yake ya wachezaji anaowahitaji hususan walinzi wa kati ndio sababu ya kuzidiwa na timu kama wattford pamoja na bournermouth msimu huu wakati msimu uliopita tulikuwa nafasi sawa na liverpool kwenye msimamo.
- ule ubabe wa mourinho umekweda wapi?. unakumbuka vita yake na abramovich kuhusiana na usajili wa shevchenko. unaamini ya kwamba mourinho hana kauli mbele ya woodward linapokuja suala la kuwapa mikataba wachezaji kama valencia,lingard,matic,smalling n.k. kama mourinho anashindwa hata kufanya maamuzi ya kuuza wachezaji asiyowahitaji kuna faida gani ya kuendelea kufanya kazi na dikteta ed woodward? mimi naamini mourinho pia anahusika kwenye ishu ya kuwapa mikataba mipya average player kama antonio valencia na wengineo. na hii ndio tofauti nyengine kubwa ninayoiona kati yake na guardiola huyu wa manchester city.guardiola amemuondoa kolarov ila mourinho anashindwa kumuondoa darmian wakati juve walishatuma ofa . uko wapi ule ubabe wa mourinho aliyemuondoa casillas real madrid kwenye kikosi cha kwanza?
- aliyefanikisha dili la fred na diogo dalot ni ed woodward peke yake?.
- anayemweka benchi fred ni ed woodward?
natumia simu ndio maana maelezo yangu yamekuwa mafupi labda ndio maana inawezekana yamekuletea matatizo kuyaelewa lakini pia nakuomba uyarejee tena kuyasoma kama utakuwa na muda.
hayo yote uliyaeleza ndio hayo niliyoyazungumza mimi kiupande wangu kwa sababu kwa uelewa wangu kiunganishi cha bodi ni mtendaji mkuu ambaye ni woodward,ndio maana nikasema ya kwamba tatizo kwa sasa ni wote wawili wanashindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo.
ed ana matatizo yake na mourinho pia ana matatizo yake.
inawezekana tumetofautiana kwenye kuelewa kwa haraka.
ndio maana nikauliza uko wapi ule ubabe wa mourinho aliyouonyesha kwa perez na abramovich?
inawezekana tunayo yazungumza yana ukweli ndani yake au ni kinyume chake,ngoja tusubiri siku atakayoondoka jose mourinho huenda atazungumza yote yaliopo ndani ya klabu kama alivyofanya LVG baada ya kudai ya kwamba viongozi wa manchester united hawana uelewa mkubwa wa mpira isipokuwa uelewa wao mkubwa upo kwenye biashara ukilinganisha na viongozi wa bayern munich.Nimekusoma mkuu..Maybe anakutana na vizingiti ambavyo hakukutana navyo before..Mkuu Damushin wewe unahisi ubabe wake umepotelea wapi??,unaweza kutupa mwanga kidogo..