Ma United ni sawa na baba tajiri ambaye watoto wake wanalala njaa.
Kibaya zaidi kila siku uchumi wa team unaripotiwa kuimarika licha ya team kupata poor results, hivyo hakuna kinachoweza kuwashtua wawekezaj wa team hii sababu profit return ni kubwa kwao na ukizangatia matajir wa team hii sio blood fan wa soka bali wao wanachojali ni faida tu.
Hebu jiulize Man U na utajir wake wote inashindwa vipi kuvuta world class players? Mi nilitarajia wachezaj kama Countinho, Suarez, Mo Salah, Harzard etc wote hao wavutwe klabuni, mbona man city kaweza kukusanya mastar.
Tatizo sio kocha bali ni Wamiliki wa team kwa ubahili wao.