Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Offering players like Young and Valencia new contracts tells us everything about where we’re at. City never offered Yaya Toure a new contract, Liverpool didn’t offer Gerrard a new contract, Chelsea didn’t offer John Terry one. We’re stuck offering bang average players contracts.
Huu ndo upuuzi wa uongozi wetu..sometimes naona mourinho hana shida sana..maana kila timu aliyopita atleast amekuwa na mwaka mmoja wa mafanikio..

Sasa leo hii unakuja kuskia Phil Jones kaongezewa mkataba,,mara Young,,Valencia ...yaani upuuzi mtupu

Matatizo ya united yapo kwenye structure rather than technical..
 
Offering players like Young and Valencia new contracts tells us everything about where we’re at. City never offered Yaya Toure a new contract, Liverpool didn’t offer Gerrard a new contract, Chelsea didn’t offer John Terry one. We’re stuck offering bang average players contracts.
20181112_214525.jpg
 
Mimi ninachofahamu kwa uhakika kwamba Man united ni timu kubwa sana duniani
Chelsea sare raia kimya
Aseno sare raia kimya
Barca kafungwa raia kimya
Kila raia ni Man united tu

Kwa sababu mashabik zake mna mudomo sana! Hvyo ni karma Mkuu
 
Mimi ninachofahamu kwa uhakika kwamba Man united ni timu kubwa sana duniani
Chelsea sare raia kimya
Aseno sare raia kimya
Barca kafungwa raia kimya
Kila raia ni Man united tu
Kwa sababuna mdomo sana, mkishinda kuanzia kocha wenu mpaka vikaragosi mnaongea kama mmemeza memory card, Sarri tangu ameichuku Chelsea hajapoteza game hata moja si michuano ya ndani au ya nje, lkn haongei ongei hovyo kwa sababu anajua safari bado ndefu... Lkn hicho kidude chenu kikishinda game mbili mfulizo tu basi ndo kinaonmgeea kama chiriku... Sasa kwa sababu mnaongea sana na leo tunataka muongee baada ya kutobolewa mara tatu...

Shubamitt....
 
Mmh mkuu umeswaki kweli?
 
Mkuu kwani kuna kocha au MTU huwa haongei , usitudanganye bana.
 
Muulize wao wakishinda huwa hawaongei

Kwakuwa wapo wachache ndio maana wakiongea hawasikiki, ndio madhara ya kushabikia timu ndogo

Hivi timu kuwa na Mashabiki wachache ni kosa letu United?
 
Pona ya Mou kuelekea msimu ujao ni kumaliza Top 4 nje ya hapo hatakuwa na wakusimama nae tena.....
Tunamsubiri kwa hamu kubwa maana sahizi hatuwezi kuhukumu but Mwisho wa msimu atatueleza kwanini msimu uliopita alikuwa namba 2 then this year ashindwe hata top 5.......kimbilio la Mou ni kuwa hatuna wachezaji wazuri OK inaweza kuwa kweli but ndo aanzishe Viungo wa 3 wazito wasio na ubunifu na nje yupo mtu kama Fred tulielipa 59mil.....
 
Back
Top Bottom