radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
psg na man city radha itapungua ya timu vizur kutumia kile ulichotengeneza au kuzalisha.Waarabu hatari
psg na man city radha itapungua ya timu vizur kutumia kile ulichotengeneza au kuzalisha.Waarabu hatari
Itakuwa timu ya wapiga pesa maana kupata mchezaj mkali ataangalia salary ya de gea na sanchez kisha anataja wa kwake itasumbua sana club wameshindwa kuzibiti mishahara ya watu mtu kama lingard anakula mia na kitu£375,000-a-week deal DE Gea , apewe apendacho kwakweli
Bora glazers watingishweSaudi Arabia's ruling Salmans – who are said to be worth £850bn – are reportedly interested in buying the football giants Manchester United from existing American owners the Glazers. According to reports from the Middle East the price would be around £4bn. [daily star]
United apewe Mwarabu?? Sidhani.hivi inawezekana kweli kwa shinikizo la mashabiki waarabu wakapewa timu?
naomba kujuzwa ikiwezekana kwa mifano hai.
Nimeangalia namba moja moja pale United sijaona anaeshindwa kuingia kikosi cha Madrid.Hivi sisi tuna wachezaj wa kuingia ktk kikosi cha madrid bila shida?
Nimeisoma jana hii.Saudi Arabia's ruling Salmans – who are said to be worth £850bn – are reportedly interested in buying the football giants Manchester United from existing American owners the Glazers. According to reports from the Middle East the price would be around £4bn. [daily star]
Mimi kama shabiki wa timu ya taifa ya Spain
De Gea Hana hadhi ya kucheza timu ya taifa tena. Kepa apewe nafasi. Kwanza Accurate long ball, ball control, saves, throws yupo juu.
Chelshit-Fanboys Bhana! Wamekuwa Mabingwa Wa Kujaza Useless states humu Mitandaoni.
Kwanza Huyo Kepa wenu ajitahidi Angalau Afikie Level za Kina Lloris, Alisson na Courtois ndiyo umlinganishe na Top Golie David Degea.