1930Game inaanza saa ngap
1930Game inaanza saa ngap
Ngoja nilifanyie kazi hili lakoPogba hata km ha-perform at his best bado ndiye mchezaji anayejua mpira haswa pale United na EPL.
Hahahaa sawaPogba hata km ha-perform at his best bado ndiye mchezaji anayejua mpira haswa pale United na EPL.
Kama kweli Pogba hayupo hakuna sababu ya mata kuanzia benchi
Wanadai starting XI hii imevuja.
De Gea, Young, Smalling, Lindelof, Shaw, Matic, Herrera, Fellaini, Lingard, Martial, Sanchez.
Fellain nae anaanzajeKama kweli Pogba hayupo hakuna sababu ya mata kuanzia benchi

Big fella itabid asianze hii game city wanapiga sana sambusa litachoka buleFellain nae anaanzaje![]()
Ni kwel kabisa... Box to box ya city itatucost.Big fella itabid asianze hii game city wanapiga sana sambusa litachoka bule

Kaumia.mhhh.pogba ana shida gani na big matches?