AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Mna UCL tatu tu kijana.
Halafu Brand miaka michache tu mjomba, Akidominate Ulaya basi kazi kwisha maana wanakua wakifisha brand yenu.Kwa jinsi Pep anavyojua kusajili mwakani au mwaka keshokutwa atakuwa ameshaestablish dominance kama ya Juventus kule serie A
We kazania Brand wakati Liverpool ana UCL kuliko nyinyi lakini hiyo Brand yake wanaijua wachache au inakaribia kufa sasa hivi
Acha kufananisha Liver na vitu vya kijinga! Enzi za Man U Vs Arsenal zilishapitwa na wakati.
Huu ni wakati wa Liver & Man city