Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Achana na hizo kuna zile dakika sita za mwanzo kabla ya goli la kwanza..

Pass 119 kwa 12...

Short on Target 0

Penalty nayo huwa ni SoT?!
nashangaa Tu Watu Kumlalamikia Kocha Eti Anafundisha Nin Huko Mazoezin
Nachojua Mie Toka Enzi Ya Babu Tukikutana Na Timu Inayomiliki Sana Mpira Lazima Tunyanyaswe Mara Nyingi Babu Alikua Anapata Ushindi Kiujanjaujanja Tu
 
Ni kweli, ukiangalia timu zilizoko UEFA mpaka sasa City inaonekana ni moja ya timu bora, sijawaangalia Dortmund msimu huu, ila Barca wanategemea maajabu ya Messi, Madrid siwaoni, Juve kwa kiasi naye bado sijamwelewa sana.

Namwona City akisumbua UEFA, labda bahati iwakatae, ila kikosi anacho sana.
Imani yangu ilikuwa kwamba ndoo inaweza baki Spain, hasa kwa Barca... Sema nso kasi yao ya mashaka. Juve hana stamina ya muda ya muda mrefu. City tutampenga kwenye uzoefu ila vinginevyo wanaweza wakapeta sana.
 
nashangaa Tu Watu Kumlalamikia Kocha Eti Anafundisha Nin Huko Mazoezin
Nachojua Mie Toka Enzi Ya Babu Tukikutana Na Timu Inayomiliki Sana Mpira Lazima Tunyanyaswe Mara Nyingi Babu Alikua Anapata Ushindi Kiujanjaujanja Tu
Tatizo hapa sio wao kumiliki mpira,tatizo ni MUFC ikipata mpira hauoni wachezaji wakijua nini cha kufanya,hawafungui nafasi,wapo wapo tu. Kuna moja Rashford kapata mpira anakimbia nao kule mbele hamna mtu anayeenda kutoa msaada,yani timu ipo ipo tu.
 
Ila pia mkuu hayo yote ni madhara ya kuruhu watu kucheza golini kwako..itakubidi wachezaji warudi nyuma na mkipata mpira hamuezi kubreak fasta kwenda mbele..We si unaona kila muda Martial anarudi kumsaidia Shaw..
 
Herrera,Matic,Lingard walikuwa mzigo sana Rashford alikuwa isolated akawa anakimbia bila msaada
 
Ila pia mkuu hayo yote ni madhara ya kuruhu watu kucheza golini kwako..itakubidi wachezaji warudi nyuma na mkipata mpira hamuezi kubreak fasta kwenda mbele..We si unaona kila muda Martial anarudi kumsaidia Shaw..
Mkuu,timu yetu bado sana,bodi ya timu ikaze roho ipate kocha anayecheza mpira na apewe wachezaji anaowataka. Kwa Mou tutaendelea kupata presha tu na ushindi wa kubahatisha baada ya kuusaka sana!
 
Bro kwa sasa ni miaka 15 tu inatosha kwa hao Manchester city kupindua meza na kuwa wakubwa kuliko nyinyi. Pep kama atabaki miaka kama kumi hivi basi Manchester United mtaanza kustruggle kuwa timu kubwa tena.

Hivi ilikuaje msimfukuze Van Gaal kumuwahi Pep wakati anaondoka Bayern?
Kwamba miaka 15 as if hiyo brand ya Man Utd ilijengwa kwa miaka 15

Unajua brand ya barca imejengwa kwa miaka mingapi braza? Au ya Madrid, au ya Bayern?

Back to Manchester, United ana ndoo za premier 20, nikumbushe city ana ngapi? Hata akichukua kila mwaka atafikisha 20?

Twende Ulaya, Unafahamu city ana ngapi ... 0 (zero). Unajua United ana ngapi .... 5 (five)

Club bingwa dunia, unajua United ana ngapi, 1.... Je city?

Vipi kuhusu FA, Carling, n.k

Miaka 15 my ass!!!!!!
 
Babu alikuwa na mbinu ya count attack akikutana na timu inayomiliki mpira. Na wachezaj wa kasi hiyo alikuwa nao ndio maana alifanikiwa

Tofauti na sasa hawapo hata wachezaj wa aina hiyo.
nashangaa Tu Watu Kumlalamikia Kocha Eti Anafundisha Nin Huko Mazoezin
Nachojua Mie Toka Enzi Ya Babu Tukikutana Na Timu Inayomiliki Sana Mpira Lazima Tunyanyaswe Mara Nyingi Babu Alikua Anapata Ushindi Kiujanjaujanja Tu
 
Watauzwa wote mwisho wa mdimu. Haswa lukaku ni kama vile kasahau kucheza mpira. Kiwango kimekufa kabisa yaan. japokuwa aliwasababushia penalt lakin individual effort hazijaonekana bado.
Hajui nn cha kufanya kule mbele, hawez miliki mpira, hajui kuji position
Romelu Lukaku and Alexis Sanchez completed 4 passes during their combined 50 minutes on the pitch vs Man City.

Phil Foden completed 7 passes in 2 minutes.

kwa pamoja wanakula £550K kwa week

aibu nimeona mimi
 
Back
Top Bottom