Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I bet u would say otherwise if the results go our way

Its part of the game, leo tumefungwa tujipange kwa ajili ya game ijayo

Isitoshe it was a very busy week, Bournemouth away, Juve away and then The Citizen away
Point mkuu
 
Sitasahau siku nilipotoka nyumbani saa kumi na moja jioni nikiwaacha wanapeta mchele😁😁😁😁 lakini niliporudi saa mbili nilikuta ugali mezani😰😰😰😰. Nilihuzunika😔😔😔😔😔 sana na sito sahau.
1541961268282.jpg
 
Licha ya haya ila ukweli unabaki Manu ni kubwa mara mia ya Mancity. Kuifikia historia ya Manu, mancity wanahitaji karne nzima sasa sijui mpaka hapo Manu watakuwa wamekaa tu. Kwa sasa ni kelele tu za majirani, msimu wao ila jiji la Manchester ni jekundu, anayetaka kubisha abishe ila ndio ukweli.

Bro kwa sasa ni miaka 15 tu inatosha kwa hao Manchester city kupindua meza na kuwa wakubwa kuliko nyinyi. Pep kama atabaki miaka kama kumi hivi basi Manchester United mtaanza kustruggle kuwa timu kubwa tena.

Hivi ilikuaje msimfukuze Van Gaal kumuwahi Pep wakati anaondoka Bayern?
 
Tangu Ferguson aondoke mna Bet to Makocha. Hayo mafanikio yenu yanaweza yasipatikane tena kwa kipindi kirefu....siku hizi mnabebwa tu na Brand name ya Man u. Lakini as a team it is as good as Fulham
Ni kweli unachoongea quality ya wachezaj si nzur hapa sikubishii
 
Back
Top Bottom