Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndugu umechanganyikiwa? Sterling assist??? We jamaa utakiwa na tatizo mahali rudi upya kusoma ulichopost na ulichoni qoute hata sijui unawashwawashwa na nini?
Kma shabiki usiruhusu kutoa tus mwilin mwako sterling bao la kwanza via silva score nisharudia m natazang hat Watford na Burnley acha kuchrk gemu zako tu
 
Hahaha kwa kweli ...em tupe maoni yako, kocha wetu mpendwa mwenye mbwe mbwe nyingi "Jose Mourihno" ..bado anafaa kuifunza klabu kubwa yenye hadhi kama Manchester United??
Hapa ndipo mashabiki wa chelsea na kocha wao alieshangilia droo ya dakika ya 96 mnapofeli anawaambia 3 bila yeye wewe ni sawa na sunderland onesha heshima
 
Tuwe wa kweli wakuu,Man u bado hatuna kikosi cha kupambana na timu kama Man city.
Man city wanafanya huwekezaji mkubwa sisi bado tunakomaa na Young,Herera,Smaling yani ni vichekesho.

Hata Mourinho akae miaka 10 pale old Trafford,bila kufanya uwekezaji mkubwa bado tutaangaika sana kupambana na city.

Gundogan,Sane wanaanzia bench akati hao wangekua kwetu lazima wangeaza.

Wachezaji wa Man u ambao watapata namba pale city ni Pogba na De gea basi.
 
kocha msenge mtake mctake ! smalling,lingard,rashford,young,fellain km mimi kocha hata cku 1 hawaanzi

Back
Top Bottom