Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,228
Manu akili hakuna hadi board wenyewe. Tangu wanamsajiri Mourinho tulisema wameuza baiskeli wakanunua pump. Van Gaal angekuwepo tangu mwaka juzi, tungekuwa tunacheka na nyavu.Mkuu tusijifariji kwa mpira wa Jose hata akipewa miaka 50 mbele ya hii City tutazidi kupotezwa.