Defence ilikuwa poa leo tatizo nimeliona k2a kocha huwez kupanga viungo vile hadi unajiuliza lingard mbele ya fred? Pogba hayupp fred anakaaje bench?
Uko sahihi kabisa mkuuUsilaumu beki mkubwa, naweza kusema hamna timu inayotengeneza chance za magoli kuliko Manchester city right now Ulaya kama sio duniani. Wale huwezi kuwazuia wasicreate chance hata siku moja
Ukweli mtupu mkuu.Waingereza hawajui mpira, na sio huyo dogo tu kuna Rashford nae inatakiwa awe anatokea benchi
There you are.....Ni kweli unachoongea quality ya wachezaj si nzur hapa sikubishii
Usilaumu beki mkubwa, naweza kusema hamna timu inayotengeneza chance za magoli kuliko Manchester city right now Ulaya kama sio duniani. Wale huwezi kuwazuia wasicreate chance hata siku moja
Hawawezi kutoa pesa kwa mtu asiyejua kutumia.Man U iuzwe kwa wale waarabu mana ndy wanajua mana ya Investment. Hawa kina Glazer ni vingese tuuu
Nimetizama mchezo beki ilipwaya,
Tizama goal la kwanza na la tatu.
Man City ni team nzuri ila team yetu inaonyesha udhaifu mkubwa Mno! Hii haiwezi kuwa UNITED nimekuwa niitizama miaka yote.
Hakika victor lindelof naona kaanza kuimarika kacheza mpira mzur sana
√ Matic is just rubbish kwa sasa..tuingie sokoni aisee
Basi hii shunguli nakuachia wewe ukishindwa ku mchapa hamna tena wa kumfungaBaada ya Red Stars Belgrade kuifunga Liverpool, Man Utd, Arsenal na Chelsea walifanya sherehe kwenye thread ya Liverpool.
Wiki hii nadhani watu watabaki kwenye thread zao.
Poleni wakuu, Man City anawafungaje?
Dah leo janja janja United mumeotewa,
Poleni sana wakuu.
Hahahaha kweli janja janja maana leo tumevuliwa nguo quality hamna lingard goli la pili kashindwa kutuliza mpira wamechukua wayaDah leo janja janja United mumeotewa,
Poleni sana wakuu.
Basi hii shunguli nakuachia wewe ukishindwa ku mchapa hamna tena wa kumfunga
Huu ni mwanzo tu. Hawataishia kubaki kwenye thread zao tu watahama kabisa jukwaa wahamie kule MMUBaada ya Red Stars Belgrade kuifunga Liverpool, Man Utd, Arsenal na Chelsea walifanya sherehe kwenye thread ya Liverpool.
Wiki hii nadhani watu watabaki kwenye thread zao.
Poleni wakuu, Man City anawafungaje?
Hakika victor lindelof naona kaanza kuimarika kacheza mpira mzur sana