Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yan uyo wala asikupe tabu, mimi nitamkalisha kwa niaba yako ..maana wewe na Yule Klopp mumeshindwa kabisa. Hivyo iyo kazi tumuachie Sarri; ni ndogo sana ataimudu.!
Timu ipi pale ya kumfunga city? Ngao ya jamii kukawasha kiungo akiwa foden hii manchester united umetokea dakika za refa ukiwa kwako we tulia tu
 
Hahaha unaelewa maana ya neno "maoni"

Au umepaniki bro, basi tufanye Man united kashinda.
Mi huwa sitoagi maoni ya kusadikika fuatilia post zangu hiyo nguvu ya kujichosha sina wenye maoni ni bodi ya timu wewe uko huku tz maoni yako yanamfikiaje ed woordward? Wala sijakurupuka na kupanic nipo hivyo kocha akifukuzwa poa akibaki poa sasa hadi muda huu timu ipo ya 8 umewah kusikia maoni ya mashabik yameweka kibarua cha mourinho rehani?
 
Pep Guardiola has now beaten Jose Mourinho (11) more times than he has beaten any other manager in his career (incl. games on penalties).

The Special One's Special enemy.
 
Pep Guardiola has now beaten Jose Mourinho (11) more times than he has beaten any other manager in his career (incl. games on penalties).

The Special One's Special enemy.
Liverpool bana na klopp kashinda makombe mengi ya kumfunga pep zaidi ya makocha wote naona ana ndoo kibao
 
Pep Guardiola has now beaten Jose Mourinho (11) more times than he has beaten any other manager in his career (incl. games on penalties).

The Special One's Special enemy.
Mourinho akishinda mbona hizi post za copy and paste huwa haziji?
 
Mi huwa sitoagi maoni ya kusadikika fuatilia post zangu hiyo nguvu ya kujichosha sina wenye maoni ni bodi ya timu wewe uko huku tz maoni yako yanamfikiaje ed woordward? Wala sijakurupuka na kupanic nipo hivyo kocha akifukuzwa poa akibaki poa sasa hadi muda huu timu ipo ya 8 umewah kusikia maoni ya mashabik yameweka kibarua cha mourinho rehani?
Inaonyesha ni kwa kiasi gani umekata tamaa mkuu.
 
Kweli mkuu smalling hakui kiwango ukiangalia leo mipira ya juu fellain katusaidia sana kuokoa
Hii timu kuna kazi kubwa sana ya kufanya, nadhani City walikuwa wanatuonyesha ni jinsi gani tunatakiwa kucheza. Wanajua kujipanga,wanafungua nafasi,yani mimi sijui José anafundisha nini hawa wachezaji wetu,sijui!
 
Back
Top Bottom