Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Kweli hujaona?So far so good sijaona alichofanya city
Man bado tupo vzr
Kweli hujaona?So far so good sijaona alichofanya city
Man bado tupo vzr
No pogba no partyKutokuwepo kwa Pogba inaweza kuwa ni neema iliyojificha ...... Embu tuone kitakachojiri
2-1 man city anaongoza
nawasaidia tu kuwapa matokeo maana wahusika hata nguvu ya kuandika hawana (liver damu)United jitahidini mtoe hata droo...
There is still big gap between Man U na Man City.
nawasaidia tu kuwapa matokeo maana wahusika hata nguvu ya kuandika hawana (liver damu)
kabisaaa adui tumuombee njaaa tuYNWA...!
Same here...ndiyo maana nawaombea angalau droo ili iwe faida kwetu LFC although City ataongoza kwa goal difference!