Futa kauli mkuu.Kuna hati hati man U tukala 7
relax
Citizens utafikiri ni washambuliaji wapo mazoezini dhidi ya mabeki.
Young hawezi kumzuia kabisa raheem.
Tunaweza kuondoka uwanjani na aibu ya mwaka leo kwa mpira huu.
Vijana wakijitoa sana, game hii tunaweza kufanya jambo
Mata aingie baadaye. Kimbia kimbia ya Lingard ni muhimu. United wana mark space wakati city wanakaba mtu. Sijui ni njia ipi bora ila kwa stahili hii lingard anatufaa. Lukaku lazima aingie leohii game bado nyepesi MO abadilishe mipango toa Lingard tia Mata
build up mbovu
Mapema sana, Mata na Lukaku...Herera amekuwa anatukaba sana, na kwenye sub hamna mbadala wake.Hakuna build up za maana...Mata inabidi aingie mapema..