Hivi Nasri yupo Uwanjani?kwa staili hii hawa jamaa ninavyowajua wanapenda sifa, wakawapiga hata zaidi ya goli 6
Watu wamepania kufunga leo.The Penalty was almost saved but Rooney rebounds with the header..Gooooooooaaaallll'!!!!!!!!
Mmefufuka leo hongereni sana.....sijui kama MANC watarudi tena katika mechi hii ndio wameshaadhirika katika mechi ambayo mashabiki wengi walidhani wangeshinda.
Tulia na angalia mpira bana wacha watu tuenjoy kwanza
Hivi Nasri yupo Uwanjani?
Wenger kweli ana maakili!Tuliwauzia magalasa .... .... usicheze na Prof. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha fujo wewe brown envelopes zilimwagwa kama njugu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee si unaona mbeleko karibu kukatika ...
Tuliwauzia magalasa .... .... usicheze na Prof. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
pigeni sita hawa ... mancini Leo atakoma
Hivi Nasri yupo Uwanjani?
Huyu kipa kumbe naye kama Gea habibKamchungulia kipa jamaa.