Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahhahhahaha. Nimecheka aiseee.
Umeufanya usiku wangu kuwa mwerere..
Kama vile nawaona mnavyozunguka na vifaa vyenu
.
 
Hata kwa juve mlisema hivi hivi....
 
Hahaa.. Hatuna namna sisi ni ndugu na hatuwezi tupana katika vipindi kama hivi. Tuko sambamba kumuuguza marehemu.
Hahhahhahaha. Nimecheka aiseee.
Umeufanya usiku wangu kuwa mwerere..
Kama vile nawaona mnavyozunguka na vifaa vyenu
.
 
Ukiachilia mbali Mourinho kuwa kocha ila huyu jamaa ana mapenzi /mahaba na hii timu ukimuangalia akashinda huwa ana mzuka wote yani,na kejeri juu kwa fans,namuombea mafanikio zaid katika club yetu pendwa ya man u
Nimeipenda hapo alivyoweka mdomo
 
Young ndiyo aliyemkalisha benchi Alexander Arnold world cup utasemaje kuwa kashuka kiwango ?
 
I think now waliokuwa wanataka Mourinho afukuzwe wataanza ku-admit lingekuwa kosa kubwa sana kufanya maamuzi hayo kwa wakati ule ,licha ya matatizo yake lazima tukubaliane most players walikuwa wanacheza chini ya viwango kwenye mechi za mwanzo I think walielewa now wanapigana kwa ajili ya timu.Now players ambao tuliambiwa wamekosana na kocha (Pogba,Shaw,Martial) wamejitokeza hadharani na kukubali now hawana tofauti na kocha na wanaonyesha uwanjani.Nimefurahishwa na viwango vya wachezaji kama Young,Mata & Herrera (hawa wana DNA ya United) na I hope wataongezewa mikataba.Wachezaji kama Jones,Rojo na Valencia hawa wanapaswa kuondoka mwisho wa msimu
 
MAN U haikushindwa kulipa pauni million 33 kwa Sneider yeye alihitaji mshahara mkubwa ambao ungeathiri rate ya mishahara ya team nzima.
 
tunapenda kumchukia na tunachukia kumpenda Jose anakuoffer vitu viwili kwa wakati mmoja furaha na karaha same to PP6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…