Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Turin kule man akifa, basi mechi na Valencia itakuwa kama fainali na akipigwa tu round ya pili atadondokea kwenye FUTUHI.
 
Mwenye matatizo somewhere ni yule anayesema United hawajachukua kombe miaka 5, wakati anajua mwaka 2016 alichukua kombe la Europa na Carling

Kuwakumbusha tu wadau, ni kwamba hilo kombe la Europa ndio kuna timu flani siku hizi inalipambania kulipata siku za Alhamisi usiku
😂😂😂 ww mwenyewe unajua kabisa makombe yenye heshma ni EPL na UEFA hayo ndo makombe utakayo kutana na kikosi cha kwanza. Hayo huwez kuyachukua nakuapia utaishia kusindikiza wanao jua
 
Lukaku anazibia riziki wenzie, Forward wangewekwa watu watatu tu. 9 acheze Rashford, 11 acheze Martial na 7 acheze Sanchez. Jamaa ukiacha Aerial duels hamna kitu kwa sasa hivi
Lukaku yuko pale kwa fadhila za kocha tu. Ila ukweli ni kuwa man u wakisajili kocha mpya lukaku atauzwa
 
Lukaku anasababisha pale mbele kusiwe na fluidity...jamaa limekuwa lizito,kujiposition hajui,,yaani ni hasara tu..tunaitaji straiker mwingine aisee

Na pale nyuma hakuna kiongozi mzuri..ata lindelof angekuwa anacheza na beki ambaye ni kiongozi kama VVD na wengine wengi still bado angedeliver kitu..smalling yupo kimya tu
 
Lutako
IMG-20181024-WA0007.jpg
 
Eti oohhh.. Timu imerudisha fighting spirit. Hehee.. Yan mlikua mnataka mponee darajani. Sasa kwa hali hii kwa nini nisiifurahie ile draw. Ningeulizwa huyu kipofu alikupigaje.?

Tukubaliane mchezo wenu wa kawaida na ushindi ni wa bila mipango mnavizia vizia tu, sema tatizo lenu mna midomo sana.

Anyway tukutane the so called FUTUHI league the next day. Poleni sana
Mu kama wanamidomo sana kama single mothers...!
 
Back
Top Bottom