Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

UKITOKA KUANGALIA SEX FOOFBALL YA ARSENAL HLF UKAENDA KUANGALIA PIRA BOVU KABISA LA MAN U UNAKUFA KABISA

Yani Tayari umeshkuwa Katika Kundi moja na Malafyale na Ollachuga Oc.

Mdogo wamejipiga Ban wengi hapa kama wewe! Endelea hivyohivyo Kuzunguka Kila uzi uone January ili tuone ujasiri wako.
 
Nawakumbusha baada ya Everton Bournemouth alafu Juve tena

Mchana mwema.ndugu zangu
IMG-20181024-WA0057.jpeg
 
Arsenal; Emeryball
Chelsea; Sarriball
City; Tiki taka
Liverpool:Gegen pressing

Manchester United: marathon football, Shaolin soccer, Park the bus, anywhere belle face

 
Man u bado, bado sana.
CB, RW,RB,DM,CF na orodha inaendelea ya watu tunaowhitaji.

Na linabaki swali, je tunawezakupata watu sahihi katika nafasi hizo?
RB tumenunua tunaweka kabatini.
Wasiwasi wangu ni kwamba hata tungempata Toby bado angekaa kabatini msimu mzima.
 
Dalot kwa nini hapewi nafasi acheze??..Hata matic kaanza kuchoka
Ndio uone jinsi timu yetu ina tatizo. Dalot kacheza mechi moja vizuri,zilizofuata zote anaangalia kutokea jukwaani.

Hao akina Fred wanacheza mechi moja,inayofuata bench,watajiamini lini?
 
Back
Top Bottom