Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Ajabu ni kwamba anayeongoza anafanya sub,aliyefungwa katulia. Hii inaashiria nini?kufilisika?kufika mwisho?
Sub huwa ziko kimkakati, either iwe kuna mchezaji kachoka au kuna mchezaji anakatika au game plan inabadilishwa
