Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Nasikia jamaa ndo alikua mtu pekee aliyekuwa anaweza kumchallenge Jose kuhusu kikos au mbinu za mchezo husika na Jose akamsikiliza,,,,,pia jamaa alikua vzr tactically,,, wapo pamoja tokea fc Porto, Chelsea, inter,,Madrid,, Chelsea, man u,then jamaa akaomba kukaa pembeni,,
Hao chelsea tunawasubr na utaonaMtarudi mlipotoka vs Chelsea mechi ijayo. Nilikuwa najua mtawagonga Newcastle United
Mkuu mm kila siku nasema kocha hana hatia ila sisi tunalazimisha aje kwenye utamaduni kitu ambacho kigum yule ana utamadun wake apewe watu tu
Acha unafki wewe kipindi cha kwanza tumecheza with low intensity,,huyo martial ungemuonea wapi??..Kubali Martial amecheza vizuri leoKama ni hivyo bora tuseme Manchester United ilicheza mpira mzuri leo. Kucheza vizuri ktk kipindi kimoja kusihesabiwe ni kucheza mechi nzima...
Hii Post najua mnaikumbuka sasa manaa wanaomkubali Mou ni wachache najua. Kama mliona fans wa united wanamponda Ed kuliko mou na ukweli unaonekanaMourinho ndiye kocha bora duniani. Ni aibu kubwa sana watu kama Bout na Ed Woodward wanamfundisha Mourinho namna ya kucheza na kusajili. Mourinho mpeleke hata PSV atabeba ubingwa. Mou ameikuta United nafasi ya 6. Msimu wa kwanza kabeba
Yuropa, Ngao ya Jamii, Carling Cup
Tuambieni basi ni kocha gani msimu wa 2017 ambaye alivaa medali tatu hata kama ni za mbuzi?
Msimu wa pili kamaliza na alama nyingi kuliko klabu yeyote ispokuwa Man City. Yaani ndani ya miaka miwili amecheza fainali 5 tofauti, CARLINGA, CA, YUROPA, FA na UEFA super cup ni kocha yupi England basi mwenye ubavu huo?? Mbona Ferguson alikaa misimu mitatu bila ubingwa tena akimaliza nafasi ya 3 mara mbili mfululizo akiwa na kikosi bora kabisa duniani kuanzia 2003 mpaka 2006 kwanini wa Mou imekuwa nongwa? Au kisa sio Muingereza mwenzao?
ED alimfukuza Van Gaal chini kwa chini leo nasikia wamepanga ujinga wao sebuleni wameshtukiwa wameanza kukanusha... ED ndo anapaswa kuondoka sio MOU. UNAFIKI UACHWE NAWAAMBIA. MOU NTAMKUBALI POPOTE ATAPOENDA KUFUNDSHA SOKA. FULLSTOP.
Ndizo zilizoiinua chelsea kuwa timu ya ushindani kuwaacha wakina evertonPlan za mourinho ni kupaki mabasi tu
Hukuona uzembe wetu wa goli mbili kwani bila uzembe wangepata goli? Mkuu hivi post kama hizi mnafikiriaga kweliUzembe wa Newcastle ndo tumeweza kushinda ,lakini hatujawa bora kiasi hiko
siku hiyo mechi haitakua na mshindi naomba uhifadhi hii comment.Plan za mourinho ni kupaki mabasi tu
Mimi nilisema mapema kabisa Martial leo ni siku yake,sijui kwanini watu hawamuelewi huyu kijanaAcha unafki wewe kipindi cha kwanza tumecheza with low intensity,,huyo martial ungemuonea wapi??..Kubali Martial amecheza vizuri leo
Nilipomuona scott nilijua tutakuwa na shida huyu dogo ni mzur timu ikiwa na bek wa maana bado hana nguv za kupambanaIla kuna wakati Mou huwa anafanya vituko,sasa leo Scot alimpanga wa nini?
Mata pia sio mtu wa bench, hii game imegeuzwa na mata. Mata ni mchezaji aina ya akina Bernardo Silva, kaangalie Pep anavyomtumia pale city.
Aache ufala wa kugombana na wachezaji,wanaweza kumpa na kimnyima ubora.
Hili bango limenichekesha sna mashabik wa hii timu wa ng' ambo wanajua nani mchawi siji kusahau msiku wa kwanza ulipoisha mourinho alimtaka greizman dogo alikuwa tayar ed akawa bize kutafuta mikataba ya kibiashara hadi tukamkosa baadae tukahamia kwa lukaku hovyo sana edJosee Is A Winner Woodward Is A Looser
Pogba na Martial kwa upande wangu ndo wameinfluance matokeo ya leo.. na man of the match ni lazima awe mmoja waoMimi nilisema mapema kabisa Martial leo ni siku yake,sijui kwanini watu hawamuelewi huyu kijana
Achana nae Hao ndiyo supporters ambao wapo radhi wafungwe ili tu kocha atimuliwe it's absurd kwa kweliHukuona uzembe wetu wa goli mbili kwani bila uzembe wangepata goli? Mkuu hivi post kama hizi mnafikiriaga kweli
Kipind cha pili pogba nilimuona kabadilika sana ila pamoja na kwamba kocha tunataka abaki mechi ya leo imetuma salam kwa kocha kwamba tunawachezaj sio kupak bus maana wote walifunguka nahisi baada ya kuambiwa tupo homPogba, Matic na Scot Mc Tominay wamepiga defence Kali. Martial, Mata wamekimiza forward. Wameonyesha kuwa huwa tunafungwa kwa makusudi na kwamba wakiamua wanaweza.
Dah Leo maflop wa Mourinho ndiyo wamemuokoa tulikuwa tunakufa kizembe sana OTGem kubwa na plan zake