Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,428
- 17,901
Pole japo haibadili matokeo...Nadhani leo nimeumia zaidi kwa mara ya kwanza hata kama Mou anazingua lakini sio kwa kufungwa kiajabu hivi ndani ya dakika chache dah, nimeumia moyo sana[emoji26] [emoji26] [emoji26]