rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Pamoja na kwamba kocha ana matatizo lakini huyu jamaa ni wa hovyo sana kuupata umoja ni ngumuView attachment 885758
Huyu jamaa ni mkorofi....
Pamoja na kwamba kocha ana matatizo lakini huyu jamaa ni wa hovyo sana kuupata umoja ni ngumuView attachment 885758
Jamaa jinga sanaSasa mbona ameongea hahahaa
Pogba na Maurinho wote wasepe tu
Pogba hamna kitu huyu wa kumuuza timu ikiwa kwenye wakat mgumu anawakacha huyu anapenda mdebwedoHuyu jamaa ni mkorofi....
Unatoa ushauri kwa jirani namna ya kupata chakula wakati familia yako inakufa kwa njaa.
Moja ya watu wanaongea kifala sana kuhusu soka ni ww, you know nothing zaidi ya google, bad enough una element za kudharau wenzako kuwaona hawajui alafu we unajua sana that's why na mm naku attack, and you know what? I will never stop til na ww ubadilike.
By the way, chuo mnafungua lini?
Sasa mbona ameongea hahahaa
Pogba na Maurinho wote wasepe tu
Umenena fact mkuu jamaa anakipaji sana yani....vitu vidogo vikibadilika ndani ya club atakuwa motoAondoke Pogba????????????
Mkuu Mimi unaweza sema siujui Mpira lakini Kwenye timu siwi na Mchezaji Kama Pogba nikasema aondoke...
Kipaji cha Pogba kimefichwa na siasa za Mourinho! Subiri aondoke Mourinho aje Kocha Mwenye siasa rafiki na Wachezaji uone Mziki Wa Hugo Pogba unayesema aondoke.
Hawana pesa za kumlipa ili kuvunja nae mkatabahahahahaha kunataarifa zinaudhi sana wadau zinadai eti Glazer wameamua kumuamini Mou hata baada ya mwenendo mbovu
Zidane si kocha sahihi wa Man United! Sioni namna ya kumuezesha kupata Mafanikio.
Inawezekana hawataki hasara mkuu ila mwenendo wa timu sio mzuri....Ed ameogopa kufanya maamuzi peke ake nae kawaida wastaafu wa pale wake wajionee na kutoa mawazoHawana pesa za kumlipa ili kuvunja nae mkataba
tatizo la viungo wa jana matic slow na fellain slow sasa tutashambuliaje vizuri bila kuwa na kasi. Hawa watu kucheza pamoja ni kama kuzubaisha timu tu
Mkuu unapozungumzia kros unanigusa sana yani sisi hatunaga mbinu zaidi ya kufunga kwa kros....yani plan A tukizidiwa tumategemea vichwa.....ni plan nzuri ila ingebidi tuwe tunaupiga mwingi timu pinzani ichanganyikiwe iwe rahisi kufunga hizo krosHata imi nilishindwa kumuelewa Mourinho,tunacheza nyumbani kutafuta ushindi unaanza two holding halafu wote wapo slow. basi anagalau japo kipindi cha pili angemtoa mmojawapo kumuingia Fredy,matokeo yake tukawa tunamtegemea Fellain mipira ya kross ili afunge da.
Huu ni ujinga Mkubwa sana. Hilo zee lihuni tu halina chochote
pia usisahau hakuna beki mwenye raha kama anayemkaba antonio valencia, kikubwa unachotakiwa kukifanya ni kumziba upande wake wa kulia, baada ya hapo atarudisha mpira nyuma.
Hamna beki mwenya raha kama anayemkaba Lukaku,unasubiri atulize mpira tu unaenda kuuchukua.
umesahau ya kwamba jupp heynckens ana miaka 73 ya kuzaliwa na kwa umri alionao haipendezi kuendelea kufanya kazi kwa mwaka mzima bila ya kupumzika, tunapaswa tuwe na huruma kwa mababu zetu.Huwa namuona kocha wa buyern aliestaafu ni mjengaji wa timu sijui kwa nini bodi haimfikilii kumshawish zidane sizani mkuu mana nje ya champions lig hanna cha maana ni mzur ktk mech za mtoano mbio ndefu chenga
umenipa heshima kubwa sana zinazonizidi kimo changu ila sinabudi kuzipokea kwa mikono miwili.Mkuu damushin unajua sana soka aiseh unalogic za maana, unaelezea fact na historia unahusisha, good job..... Mbona chelsea wanaupiga mwingi bhana sembuse sisi
umesahau ya kwamba jupp heynckens ana miaka 73 ya kuzaliwa na kwa umri alionao haipendezi kuendelea kufanya kazi kwa mwaka mzima bila ya kupumzika, tunapaswa tuwe na huruma kwa mababu zetu.
kuna tofauti kubwa sana kuifundisha bayern munich inayocheza bundesliga na manchester united inayocheza ligi kuu ya uingereza. Mpira wa uingereza umevamiwa na mabepari wasiokuwa na huruma kwenye kutumia fedha zao kwa ajili ya kutafuta furaha japo kwa muda mfupi. jaribu kufikiria huku uingereza leo hii everton wanalipa pound millioni 50 kwa ajili ya richarlison wakati kule ujerumani bayern munich ndiye mwenye uwezo wa kufanya matumizi kama hayo.
majirani zetu liverpool takribani miaka 10 walitiwa ujinga na upumbavu uliokithiri kupitia vyombo vya habari vya nchini uingereza na hatimaye wakawapa kazi makocha wasiokuwa na uwezo hata wa kufundisha fyatueni fc ya chato na kilichotokezea ni mwendo wa kusajiliwa wapumbavu na wazembe kama vile dossena, krygiakos, david ngog,aquilani, andy carroll, bellamy, kolo toure, fabio borini, konchesky n.k. Tusipokuwa makini tutaivunja rekodi ya liverpool ya kuajiri makocha wa ovyo na kuendelea kutujazia wachezaji wa ovyo kama lindelof, fellaini na darmian matteo.
tulitiwa ujinga na vyombo vya habari vya uingereza na tukawapa nafasi david moyes na kaka yake luis van gaal na tukaamua kuwapotezea walimu wazuri. walipofanya vibaya vyombo vile vile vikawageuka na kuwagongelea misumari yenye uzito wa tani 7 kwenye miili yao na pia kuanza kuwawekea rekodi zao mbovu walizozivunja.
kwa jinsi wazungu wanavyopenda starehe bila ya kujali umri wao, huenda mrithi wa jose mourinho atakuwa yupo kwenye fukwe na bukta yake ya fiesta akisubiri ujumbe wa tafadhali nipigie kutoka kwa ed woodward.
- mara ya mwisho kwa west bromwich kupata ushindi old trafford ilikuwa ni mwaka 1978 ila chini ya david moyes walipata ushindi, mzee wangu wa kike alikuwa hajazaliwa
- mara ya mwisho kwa newcastle united kupata ushindi old trafford ilikuwa ni miaka 40 iliopita ila mbele ya david moyes walivunja rekodi
- everton walikaa miaka 21 bila ya kupata ushindi old trafford wakavunja rekodi kwa david moyes.
- mwezi january tulifungwa mechi tatu na hatimaye kuvunja rekodi ya miaka 30
- tulikaa miaka 30 bila ya kufungwa na stoke city ila bwana moyes alituona tunapata na akaamua kuivunja rekodi
- chini ya van gaal tulifungwa na southampton haliyakuwa mara ya mwisho kufungwa na southampton ilikuwa 1969. kwa kejeli mashabiki wao waliimba "You used to be good but now you're s**t,"
- kwenye mechi 23 louis van gaal alipata point 37, haijawahi kutokezea kwenye historia ya manchester united
- swansea walitugeuza nyuma na mbele kama samaki msimu wa 2014/2015
- van gaal alishindwa kupata ushindi kwenye mechi nane mfululizo, mwaka 1989 chini ya ferguson ndio msimu pekee ambao united walicheza mechi nyingi bila ya ushindi,kuna mshabiki mmoja aliyeitwa Pete Molyneux inasemekana alichapisha bango lenye kumdhihaki sir alex akitaka afukuzwe baada ya miaka 3 isio na mfanikio.'3 years of excuses and it's still c**p, ta ra Fergie'
- 1989 ndio ilikuwa mara ya mwisho kwa norwich city kuifunga manchester united old trafford ila van gaal alivunja rekodi
- kwenye miezi 3 van gaal alishinda mechi 6
- kwenye mechi 34 tulicheza mechi 10 bila ya kufunga goli
swali linaloumiza kichwa muda huu
ni yupi mtu sahihi wa kurudisha heshima ya klabu ndani ya uwanja?
neno ta ra fergie liwe ni ta ra mourinho
- kama ni hoja mafanikio tusishau ya kuwa klabu imeshawapa nafasi ya kazi makocha wawili wenye CV nzuri.
TUJISAHIHISHE ILI TUSICHEKWE TENA
100%Ushauri kuifanya Man United iendelee kuwa big team.
- Mpeni Mou madaraka kama yale aliyopewa na Chelsea aunde timu inayoendana na mfumo wake. Pia awajenge wachezaji ambao watakuwa Loyal kwake kama akina John Terry, Frank Lampard, Didier Drogba, Petr Čech nk
- Mpeni pesa ili awanunue wachezaji anaowataka na wala sio mnampa pesa nusunusu
- Mpeni muda wa kutosha kama mlivyompa Ferguson