rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,109
- 7,790
Sisi wazee wa kubeti tunaikwepa sana timu yenu ya wahuni...na ata msali vipi hamsalimiki mwaka huu. Europa ligi ileeeee loading.. .55%
Naona kocha msimu wake wa tatu ile gundu yake bado imenata maana valencia hata hajiwezi ligi ya kwao juventus walikuwa pungufu na wakamtandika 2-0 na valencia alikuwa kwake.Sisi wazee wa kubeti tunaikwepa sana timu yenu ya wahuni...na ata msali vipi hamsalimiki mwaka huu. Europa ligi ileeeee loading.. .55%
Ahaaaa wape heshima, kwenye kundi man u wa pili atatolewa 16Sisi wazee wa kubeti tunaikwepa sana timu yenu ya wahuni...na ata msali vipi hamsalimiki mwaka huu. Europa ligi ileeeee loading.. .55%
Wachezaji wote wana mpango wa kumuondoa mourinho kwa hiyo usishangae kiwango cha lukaku kuwa chiniLukaku ni mzigo balaa afu Mou hata hajui hilo inasikitisha sana
Watu hawakushangaa suddenly Evra kuwa direct involved na timu hadi kusafiri na team tulipocheza na Westham.....
Kwa mechi ya jana nilivyoona mourinho kuamka hawezi naona msimu wake watatu una mhukumu hamna namna ile chelsea ya 2015/2016 inatukumba
Watu hawakushangaa suddenly Evra kuwa direct involved na timu hadi kusafiri na team tulipocheza na Westham.....
Evra anaongea French na English hahahha maybe alikuja kuwasilisha mahitaji ya Zizzou
Naliona hilo kushindwa kuifunga valencia dhaifu nyumban ni tatizo hii ina maana hadi wachezaj kisaikolojia hawapo sawa inatakiwa mtu wa kubust winning mentallity zaoBaada Ya Kuajiriwa Mourinho wadau Waengi Walisema Kuwa Mourinho Mwisho Misimu Miwili Kutulia Kwenye Timu! Ukianza wa 3 basi anawarudisha Mulikotoka.
Sikuamini hilo! ila Sasa nimeamini.
Watu hawakushangaa suddenly Evra kuwa direct involved na timu hadi kusafiri na team tulipocheza na Westham.....
Evra anaongea French na English hahahha maybe alikuja kuwasilisha mahitaji ya Zizzou
Antonio Valencia apologises for liking Instagram post calling for Jose Mourinho to be sacked
Hapo inatosha kabisa kuonesha wachezaji hawamtaki kocha
Watu hawakushangaa suddenly Evra kuwa direct involved na timu hadi kusafiri na team tulipocheza na Westham.....
Evra anaongea French na English hahahha maybe alikuja kuwasilisha mahitaji ya Zizzou
Ni yule yule tu kama mourinho kuzuia sana kocha makini ni yule babu aliestaafu wa buyern munich hatar sana kwa soka la kushambuliaMtoeni Diego Simeone pale Atletico Madrid Nina Uhakika Hamtohuzunika.
Watu Wanamdharau Simeone Kwasababu Habebi Laliga!!! Lakini Hawaangalii Kuwa Timu anazopambana nazo zilikuwa ni Barcelona na Real zilizokamilika kila uchochoro atawezaji kubeba Laliga mbele ya Wakina Messi, Suarez, Ronaldo, Bale, Iniesta, Coutinho, Modric, Kroos n.k..
Lakini Kwa Man U naamini Anao uwezo wa kuleta Mafanikio Kwani Timu za EPL za Top 6 hazijapitana sana Kiuwezo.