Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Some things NEVER changeKwa mechi ya jana nilivyoona mourinho kuamka hawezi naona msimu wake watatu una mhukumu hamna namna ile chelsea ya 2015/2016 inatukumba
Some things NEVER changeKwa mechi ya jana nilivyoona mourinho kuamka hawezi naona msimu wake watatu una mhukumu hamna namna ile chelsea ya 2015/2016 inatukumba
Kwani nyie hamuhitaji mafanikio? Mbona klopp hana medali yyte tangu ameenda livapuli, kwann msimchukue nyie simeone.Mtoeni Diego Simeone pale Atletico Madrid Nina Uhakika Hamtohuzunika.
Watu Wanamdharau Simeone Kwasababu Habebi Laliga!!! Lakini Hawaangalii Kuwa Timu anazopambana nazo zilikuwa ni Barcelona na Real zilizokamilika kila uchochoro atawezaji kubeba Laliga mbele ya Wakina Messi, Suarez, Ronaldo, Bale, Iniesta, Coutinho, Modric, Kroos n.k..
Lakini Kwa Man U naamini Anao uwezo wa kuleta Mafanikio Kwani Timu za EPL za Top 6 hazijapitana sana Kiuwezo.
Simeoni buana, ila ni mativator. Lakini naye mbinu zake ni za kuviziavizia adui ajichanganye amcharaze.Kwani nyie hamuhitaji mafanikio? Mbona klopp hana medali yyte tangu ameenda livapuli, kwann msimchukue nyie simeone.
Huwa simuamini huyu ktk soka la kushambulia kwa kujilinda yupo vizur sana anamzidi hadi mourinho kupak bus ila watu wazur wa kaunta atak anaoSimeoni buana, ila ni mativator. Lakini naye mbinu zake ni za kuviziavizia adui ajichanganye amcharaze.
Kwa hiyo hadi uefa kulikuwa hivyo? Hivi united ya 1999 na 2008 ulikuwa unatokea wap? Unatoaje mchezaj bora wa dunia kama unanunua marefa?David ndiye alikuwa ananunua marefa na FA officials. Alipotangaza kustaafu SAF akaona astaafu ama sivyo angeadhirika.
Huyu jamaa achana naye.Kwa hiyo hadi uefa kulukuwa hivyo? Hivi united ya 1999 na 2008 ulikuwa unatokea wap? Unatoaje mchezaj bora wa dunia kama unanunua marefa?
Kuna watu huwa wanavisababu vya ajabu sana manchester united ya babu haijawahi kuwa na safu ya hovyo ushambulizi na hata mabek tumemtoa kwao van persie kachukua kiatu na ubingwa sijui zile goli alikuwa akifunga kwa mkono na marefaHuyu jamaa achana naye.
Kwani nyie hamuhitaji mafanikio? Mbona klopp hana medali yyte tangu ameenda livapuli, kwann msimchukue nyie simeone.
Tetesi, Mourinho to be sacked soon
Pardew, Big Sam, Bruce are the earliest favorites to replace Mourinho
Hii habari naomba isiwe ya kweli. Huyu jamaa kashi dwa takribani Vlub zote alizofundisha, bora Giggs.
Bado sijaamini
Mkuu hapo alikuwa sahihi timu hupewe escot kama kuna foleniBaada ya jana UEFA wametupiga faini kwa kuchelewa kuingia uwanjani
Kama kawaida Maurino kawatafuta wa kuwatupia lawama this time sio wengine bali ni polisi wa jiji la manchester![]()
![]()
![]()
![]()
kwa kushindwa kuipa timu escort kwenda uwanjani kutoka hitelini
Huyu mzee bana uzeee unamjia vibaya na kwa kasi sana
Mkuu huoni kama picha za kutengeneza
Ni kweli ila ndiyo kocha aliebaki kuwania nafasi baada ya mourinho kuondoka and is free available tufanyaje mkuu acha tu aje kuokoa jahaziZidane si kocha sahihi wa Man United! Sioni namna ya kumuezesha kupata Mafanikio.
Sasa mbona ameongea hahahaaPamoja na kwamba kocha ana matatizo lakini huyu jamaa ni wa hovyo sana kuupata umoja ni ngumuView attachment 885758
Wachezaji watakua sawa tu baada ya mourinho kuondoka maana hilo ndiyo lengo lao kuona kocha anasepa,ila kama wachezaji wanakosea sana kuiangusha club kubwa kama hii na bado wanalipwa hela ndefu, kocha na ishu zake zitatatuliwa na uongozi wa club.Naliona hilo kushindwa kuifunga valencia dhaifu nyumban ni tatizo hii ina maana hadi wachezaj kisaikolojia hawapo sawa inatakiwa mtu wa kubust winning mentallity zao
Wasaliti sanaAntonio Valencia apologises for liking Instagram post calling for Jose Mourinho to be sacked
Hapo inatosha kabisa kuonesha wachezaji hawamtaki kocha

Unatoa ushauri kwa jirani namna ya kupata chakula wakati familia yako inakufa kwa njaa.Halafu Wewe umekaa Kama Mwanamke Unayegombea Bwana na Demu wangu....
Yani Hujui namna Ya Kureply Post, Hujui Post ya Kishabiki Ni ipi ya kimpira Ni ipi! Upoupo tu...
Nashukuru Kuwa Mwanmme Mwenzangu Niliyemreply Kimpira amenifahamu..
Wewe Mwanmke Ni Vigumu Kuwafahamu Wanaume, Endeleza Mipasho Yako na Kidole Juu.
.