capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Zidane ni kama Giggs tu km vp wamuamini Giggs wampe timuHuwa namuona kocha wa buyern aliestaafu ni mjengaji wa timu sijui kwa nini bodi haimfikilii kumshawish zidane sizani mkuu mana nje ya champions lig hanna cha maana ni mzur ktk mech za mtoano mbio ndefu chenga
Alipokua Madrid ni ilikua yeye Vs Casilas & RamosMourinho kuwa tofauti na wachezaji yeye sio wa kwanza,vijana wamepanga kumdondosha, anafaidika na breach of contract ni mourinhoView attachment 885312
Tetesi, Mourinho to be sacked soon
Hynkes mzuri mno yule babu sijui kwa nini pia hatukujaribu kumchukuaHuwa namuona kocha wa buyern aliestaafu ni mjengaji wa timu sijui kwa nini bodi haimfikilii kumshawish zidane sizani mkuu mana nje ya champions lig hanna cha maana ni mzur ktk mech za mtoano mbio ndefu chenga
Mkuu unajua sana soka sio la kinazi....ni kweli simeone hata katika biblia alikuwa mtumwa wa Mungu hawezi kutuangusha hahahahahahMtoeni Diego Simeone pale Atletico Madrid Nina Uhakika Hamtohuzunika.
Watu Wanamdharau Simeone Kwasababu Habebi Laliga!!! Lakini Hawaangalii Kuwa Timu anazopambana nazo zilikuwa ni Barcelona na Real zilizokamilika kila uchochoro atawezaji kubeba Laliga mbele ya Wakina Messi, Suarez, Ronaldo, Bale, Iniesta, Coutinho, Modric, Kroos n.k..
Lakini Kwa Man U naamini Anao uwezo wa kuleta Mafanikio Kwani Timu za EPL za Top 6 hazijapitana sana Kiuwezo.
Alafu pia shida ya Man united huwa hatutaki kupambana na hard targets sisi huwa tu nataka easy target kama zidane.....hard target wengi ngumu kuwapata ila kuwapata ni bahati na inahitaji ushawishi why not tusiwafuate Jupp Hynkes yule ex-coach wa Bayern na simeone wa atletico
Makochs wa Uingereza hawatatuvusha.Padded, Big Sam, Bruce are the earliest favorites to replace Mourinho
Ed hana ushawishi. David gill ndio alikuwa kichwa na pia ana jicho la vipaji. Alisaidis sana.
Huyu ed hakuna kitu. Anaangalia biashara tu
David ndiye alikuwa ananunua marefa na FA officials. Alipotangaza kustaafu SAF akaona astaafu ama sivyo angeadhirika.
Press conference ya Jana kocha anasema "we don't techincal qualities" , hapo hapo unaangalia ameanzisha Fellaini na matic nje wapo Pereira na Fred na Mata hahahahahaha huyu katuona hayupo vizuri kama yeye
PumbaDavid ndiye alikuwa ananunua marefa na FA officials. Alipotangaza kustaafu SAF akaona astaafu ama sivyo angeadhirika.
Makochs wa Uingereza hawatatuvusha.