Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  1. sitomlaumu jose mourinho kwa sababu ya kuwa na mbinu mbovu na za kizamani za ufundishaji ila nitamlaumu jose mourinho kwa matokeo mabovu anayoyapata uwanjani msimu huu, mourinho si muumini wa mpira wenye kuvutia na hatokuwa muumini wa mpira wenye kuvutia mpaka kufa kwake kisoka.
  2. wakati huyu jamaa anapewa mkataba wa kuifundisha manchester united tunapaswa tujiulize ina maana bodi walikuwa hawafahamu ya kwamba mourinho hafundishi na hatofundisha mpira wa kuvutia akiwa kwenye majukumu yake?
  3. muheshimiwa paul pogba a.k.a mzee wa attack attack style wakati anatia saini manchester united kwa dau lililovunja rekodi miaka mitatu iliopita kutoka juventus alikuwa hafahamu ya kwamba anakwenda kufanya kazi na jose mourinho asiyeamini soka la kuvutia?
  4. sakata la paul pogba halina tofauti na sakata la wayne rooney mnamo mwaka 2010, rooney alidai ya kwamba manchester united imepoteza nguvu na ushawishi kwenye soko la usajili na pia ina wachezaji wa kawaida hivyo basi anataka kuondoka, bado naikumbuka sura yenye hasira ya sir alex ferguson kwenye mahojiano akizungumzia ishu ya rooney. kumbe kelele zote za rooney ishu kubwa alitaka aongezewe mshahara ili awe mchezaji anayelipwa zaidi nchini uingereza. Tukirudi kwa pogba na yeye naamini kelele zote hizi zinachangiwa na ishu ya maslahi yake binafsi na si maslahi ya klabu kama anavyotudanganya
  5. kitendo cha mtumshi hewa anayeitwa alex sanchez kulipwa mshahara mkubwa ndani ya klabu na uingereza kwa ujumla ndicho kinachomuumiza paul pogba na wakala wake mino raiola, ubovu wa sanchez uwanjani ndio mdomo wa paul pogba nje ya uwanja, vijembe vya pogba vinamuhusu mourinho na alex sanchez.pogba alivutiwa zaidi na maslahi aliyoahidiwa na mancheter united kupitia account yake ya benki kuliko maslahi aliyoahidiwa kupitia ndani ya uwanja, inasemekana dili la pogba muheshimiwa mino raiola alivuna wastani wa paundi millioni 15 kama wakala, kama pogba alitaka mpira wa kuvutia na mafanikio kwa nini alikataa ofa ya real madrid?
  6. kwa hali iliofikia siamini ya kwamba jose mourinho atarudisha heshima ya manchester united kwa sababu na yeye pia amehusika kwenye upoteaji wa heshima ya klabu,inasikitisha sana kuona jamaa unapofika msimu wake wa tatu anafukuzwa kwa sababu kubwa mbili zisizobadilika nazo ni matokeo mabovu na kushindwa kuwa na mahusiano mazuri na wachezaji.Hata kama itatokezea upepo ukabadilika na kupata matokeo mazuri basi ningependa mwisho wa msimu mourinho aondolewe kwenye klabu.
  7. bodi ya manchester united wasipokuwa makini watajikuta wanarithi nafasi ya liverpool kwa kusifia historia ya mafanikio yao,miezi hii iliobakia wanapaswa wafanye tathmini ya kutosha kwa ajili ya kutafuta mrithi wa jose mourinho anayeendana na utamaduni wa klabu na mwenye fikra pana kuhusiana na soka la sasa, kinyume chake wataishia kubadili makocha kila msimu kama mzinifu anavyobadili paketi za kondomu kila mechi.
  8. kwa mpira wa sasa ulivyo na ushindani mkubwa sana tunahitaji mwalimu mwenye uwezo wa kutupa mafanikio ndani ya msimu mmoja, tusidanganyane jamani kwa hadhi yetu manchester united hakuna mshabiki, mpenzi na mpiga kelele anayeweza kuvumilia ujengwaji wa timu kwa miaka 3 kipindi hiki, na kwa ushahidi wa hilo klabu ilimfukuza van gaal baada ya kufanya vibaya licha ya kucheza soka la kuvutia.Hivyo basi kitakachomuondoa mourinho ni kufanya kwake vibaya na si kutokucheza soka la kuvutia.
Manchester United news: Paul Pogba admits to Real Madrid snub ahead of £89m return to Old Trafford | Goal.com
Mkuu damushin unajua sana soka aiseh unalogic za maana, unaelezea fact na historia unahusisha, good job..... Mbona chelsea wanaupiga mwingi bhana sembuse sisi
 
MAROTTA TO BRING CONTE TO UTD?
Juventus
general manager Giuseppe Marotta could take over as sporting director at Manchester United with Antonio Conte joining him as a manager, according to Corriere dello Sport.
Marotta has confirmed he is leaving Juve this month and is in position to take over football operations at Old Trafford leaving Ed Woodward to concentrate on the commercial side of the club.
With Jose Mourinho also under pressure, Conte would be Marotta’s pick to replace the Portuguese given their success together at Juve.

Njoooni mshangae huku ha ha ha ha
 
Huyu jamaa naye hana tofaiti na Morinyo sema tu yeye si mwongeaji.
 
Binadamu tulivyoumbwa tunasahau haraka,,kipindi pogba yuko juve tulikuwa tunaomba aje OT Leo kafika watu wanaona ni underrated player,,this is insanity
 
Binadamu tulivyoumbwa tunasahau haraka,,kipindi pogba yuko juve tulikuwa tunaomba aje OT Leo kafika watu wanaona ni underrated player,,this is insanity
Mourinho anajua sana kucheza na akili za watu.

Alipokua Madrid alifanya baadhi ya mashabiki wa Madrid wamchukie Casillas na wamuamini diego lopez, aliporudi Chelsea kuna baadhi ya mashabiki wakawa wanawaona akina hazard ni traitor na hawana kiwango cha dunia, saizi yupo Manchester anataka kutuaminisha pogba sio world class, so sad kuna baadhi ya mashabiki wameamini hivo.

By the time either pogba au mourinho atakapo ondoka nadhani ndio tutajua vizuri how good pogba he is.
 
POGBAOUT
 
Binadamu tulivyoumbwa tunasahau haraka,,kipindi pogba yuko juve tulikuwa tunaomba aje OT Leo kafika watu wanaona ni underrated player,,this is insanity
Anaongea sana ndicho kinachomponza mashabiki wanachukia sasa hadi hapa badala tudili na mourinho wanaanza kumuingiza na yeye angekuwa mkimya na haya matokeo mabovu mbona mourinho angekosa upenyo
 
Wanalipwa hela nyingi hawa wachezaji buana, they must deliver at maximam. Fans are paying them handsomely, so wa kuchekea. £300,000, this is not a joke!!
Kula like mkuu wachezaji nao wanafanya masihara haiwezekani ulipwe mapesa yote hayo na fans walipe kuja kuangalia mechi halafu bila huruma ucheze utumbo uwanjani.
 
001
 
patrice.evra-20181002-0001.jpg

Sometimes kissing the badge it’s not enough when you play for this club manchesterunited the whole world is laughing at us right now !!! But if you really love this club as a fans or players make sure you help the club instead of criticizing your club at the end many peoples are really happy because we hurt them Soo much in the past...Soo I understand the hate 😉but who know in the future they will hate us again 🤨#ilovethisgame #positive4evra #manchester #united #forevrared #love #passion
patrice.evra-20181002-0001.jpg
 
Muache tu mkuu atoe maoni yake.

Cha maana tusitukanane tu.
Tuwe postive kidogo tunapinga hadi tunajipinga tukifungwa imefungwa mancheaster united sio mourinho what for? 2002 hadi 2003 tulikuwa hovyo sana chini ya kocha mzoef hadi bodi ilianza kumfikiria wenger kumpa kazi lakin baadae wakaona upuuz wakamvumilia alex akaanza kusajili 2006 had 2009 alijenga timu yenye nguvu sana
 
Back
Top Bottom