Mourinho anafanya kusudi nahisi anataka kuweka record katika kitabu cha guiness akiwa kama kocha aliegombana na wachezaji katika kila timu aliyofundisha. Tusimlaumu sana inawezekana ndio malengo yake katika career yaje ya ukocha
Kwa hili nazani itakua mwisho sizani kama atapewa team akishatoka apo cv ishaharibika
 
Mtazamo wa Fergie kuhusu Pogba na Raiola
 
Mourinho amesema wametafakari yeye na coaching staff wake na kugundua kuwa "Pogba ni mchezaji mzuri lakini sio captain mzuri"
 
Coach maneno meng tu anatukosesha raha mashabiki/wapenzi wa man utd. Kiukweli tukubaliane hana mbinu kaishiwa mbinu hana jipya katika football kwa sasa
 
Unanitajia takataka martial we vipi mchezaj mzur anajulikana tu hata kocha awe mpuuzi kachukuliwa dembele aliekuwa majeruhi kwenda kombe la dunia na kacheza mech tatu tu barcelona unakuja kuandika pumba zako
Mkuu Leo ndo nimeamini hujui mpira kabisa wewe wa kusoma martial takataka??? hahahahah
Radika umejikaza kabisa na kusema martial ni taka taka? Kweli sasa sishangai ukisema mou abaki Tanayzer umenena Kwa akili
 
Manchester united inahitaji wachezaji wapambanaji wafia timu kama ander herrera na de gea wao haijalishi wapo kwenye mazingira yapi wanapiga kazi na hakuna cha lopolopo
Nashangaa walimpaje Valencia unahodha.
Unahodha ungemfaa sana Herrera maana anaongea na anapambana sana anapokuwa uwanjani.
 
Mods wasipoufuta huu uzi ipo siku zitachapwa kavukavu.


Mashabiki Wa United kama Mou asipofukuzwa ndani ya msimu huu kwa stress hizi Milembe itajaa mno.
Dawa sio kufukuza kocha ni kupata wapambanaji wafia timu angalia herrera alivyomtiifu kwa timu washapita makocha wawili hamna mabadiliko timu haina players kama vile wayne rooney na scholes mtu anapoteza mpira kukaba hana ubavu kisha anamponda kocha
 
Nashangaa walimpaje Valencia unahodha.
Unahodha ungemfaa sana Herrera maana anaongea na anapambana sana anapokuwa uwanjani.
Point hii mkuu kidogo herrera roho yake naiona kama rooney mtiifu mno si mtu wa media huwa anakubali kucheza popote ili mradi kapewa majukum na kocha
 
Hapa ndo anachemka ila binafs huwa napenda akicheza namba 8 huwa mzur sana tunashindwa kumtumia na kupata wachezaji ambao sio sahihi kiungo cha ukabaji kiasi kwamba herrera anabadilishwa kuwa mkabaji nilikuwa na matamani sana na morgan lakin haikuwa hivyo.
Mou anamtandika bench tu.
 
Ndio maana mtu akisema United ina wachezaji wakawaida huwa sielewi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…