Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sio mimi kuwataka tujadili tu taratibu Lukaku ana consistency?
Martial ana consistency?
Ni wachezaji wachache sana wenye consistency throughout..tunataka wachezaji wacheze kwenye level ya uwezo wao na ikitokea siku wakaperform above hiyo level ni sawa

Rooney mwenyewe kuna kipindi alikuwa anadorora,lakini anarudi kwenye form na kukiwasha..

Martial consistency aipate wapi wakati kocha hawaamini??..

Morata umemuangalia,lacazette,giroud,..hawa si wanaperform the same tu..lukaku sio mbaya kihivo kama mnavyotaka kusema..angalia akiwa belgium,,mbona anaperform vizuri
 
Kama kuna MTU anaweza kufufua comment zangu kuhusu Mou naomba anisaidie Jamani.


Niliandika weeeeeee nikawa naonekana Mpuuzi na kuitwa kila aina ya Majina bahati nzuri Mungu sio Radika wala PRONDo kipigo na kiwango cha team yetu kinazidiwa hata na JKT Ruvu ya Masau Bwire.




Nasema tena Team hii haitafua dafu chini ya "mzaramo" Wa kisiju Jose Mourinho.



GGMU
tupo pamoja so far sijaangalia game 2 zilizopita sio kawaida yangu kabisa ila naona sawa tu.
 
Ni wachezaji wachache sana wenye consistency throughout..tunataka wachezaji wacheze kwenye level ya uwezo wao na ikitokea siku wakaperform above hiyo level ni sawa

Rooney mwenyewe kuna kipindi alikuwa anadorora,lakini anarudi kwenye form na kukiwasha..

Martial consistency aipate wapi wakati kocha hawaamini??..

Morata umemuangalia,lacazette,giroud,..hawa si wanaperform the same tu..lukaku sio mbaya kihivo kama mnavyotaka kusema..angalia akiwa belgium,,mbona anaperform vizuri
Hao wachezaji anaoita Averages wanaitwa na kuchezea Timu bora kabisa za Taifa, Wametoka club bora duniani na wakiwekwa sokoni Timu bora kabisa duniani zitawanunua.

Hivi Liverpool ina wachezaji gani bora kuwazidi United?
 
Huwezi kugombana na wachezaji halafu kocha ukabaki salama,
Hili Lipogaba kutogombana nalo inabidi uwe ya uvimilivu unaokaribia kuwa sawa na ujinga.

Ila na kocha ni lofa, sijui kwa nini anang'ang'ana kumpanga. Mid acheze Fred, Matic na Hererra. Jamaa lina mwili lakini linadondoshwa ovyo. Eti timu ishambulie wakati yeye ndiye anakawia kurelease mpira
 
"I was a champion in Italy, Spain, Portugal, England...3 times in England! How many trophies has Lampard won as a manager? Zero. I won him his first trophy. Derby is a fantastic team with a fantastic coach but were they lucky? I don't know. I think the free kick was offside". Oladayo Ogunrinde on Twitter

🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu jamaa apelekwe Mirembe kabla mambo hayajaharibika zaidi
 
Hao wachezaji anaoita Averages wanaitwa na kuchezea Timu bora kabisa za Taifa, Wametoka club bora duniani na wakiwekwa sokoni Timu bora kabisa duniani zitawanunua.

Hivi Liverpool ina wachezaji gani bora kuwazidi United?
Liver hawana mchezaji hata mmoja kuzidi United. Ni mipango ya kocha na saikolojia ya wachezaji. Huyo Sara ni nyoroto/soft kuliko hata Martial lakini anatupia.
 
Wakuu natamani nitukane sana nipigwe ban ya maisha kuanzia Man u hadi humu....inaumiza sana huyu Mou anachofanya kweli Mou wakutupeleka Europa dah....

Timu tunayo nzuri sana tu tatizo huyo anaepanga wachezaj na mbinu za kutumia ndio shida....Mda flan mtu unatamani hata kujinyonga ufe labda board itaelewa kiasi gani tunaumia...
Ohoooo.. Mlioko karibu na huyu jamaa mchungeni jamani
 
Liver hawana mchezaji hata mmoja kuzidi United. Ni mipango ya kocha na saikolojia ya wachezaji. Huyo Sara ni nyoroto/soft kuliko hata Martial lakini anatupia.
Upo sahihi mkuu, Pia majukumu ya kocha ni kuwafanya na wachezaji ulio nao kuwa bora zaidi..

Leo Gomez anacheza CB pale Liver huku beki za pembeni wakiwa Vijana wadogo Robertson/Trent-Arnold.Klop kawafanya kuwa bora zaidi.

Mourihno Badala ya kuboresha viwango vya alionao ndio anawaharibu saikolojia na kuwashusha zaidi.
 
Man U huwa nawaonea sana huruma kila nikisikiliza au kosoma interviews za Mourinho.


Kwenye preseason baada ya kufungwa na Liverpool aliongea sana shombo kuhusu wachezaji wake alionao na mwisho akasema majority of them hatokuwa nao by the end of August.

Kila ikitokea Man U haijafanya vizuri basi ukisikiliza press za Mou huwa anaongea utumbo utumbo mpaka inakera yani.

Sasa najiuliza kama kocha una wachezaji wako alafu huwakubali na unaonyesha hadharani kwa kuongea kwenye vyombo vya habari unafikiri ni mchezaji gani atakayekuwa tayari kukupigania?

Mou amekuwa always negative, anaibua mambo irrelevant kabisa kwenye interviews zake. Mfano alipozungumzia kuhusu idadi ya vikombe alivyobeba ya. EPL vs the other managers, all that shit was unnecessary; angalia interview ya jana, upupu mtupu Mourinho.

Man U sio kwamba hamna kikosi chenye uwezo. Kuanzia golini, De Gea hakuna team anakaa bench pale England, Erick Baily, Shaw, Valencia, Pogba, Sanchez, Lingaard, Rashford, Lukaku, Martial na wengine wengi ni wachezaji wenye uwezo wa kuipa team matokeo.

Tatizo ni attitude ya kocha. Mourinho is too arrogant. Anahisi historia yake itambebea vikombe, hataki kubadilika kucheza modern footbal.

Pia hajui kuishi na wachezaji wake vizuri. Huwezi kuwadiss watu wanaokufanyia kazi alafu utegemee wajitume next time wakiingia uwanjani. Anachofanya ni kuwakatisha tamaa na kuwavunja mioyo wachezaji.

Ningeunga mkono hoja kauli ya "Mourinho Out" lakini kwasababu mimi ni kambi ya upinzani naomba aendelee kubaki tu ili niendelee kufurahia shombo zake kwenye media.
 
Damushin "jose mourinho alitumia nguvu kubwa sana kutengeneza CV yake ila cha ajabu anatumia tena nguvu kubwa kuiharibu CV yake." Umepiga zaidi ya wilson usiniulize ni yupi

hahahahahahaaaaa nilikuwa sijaangalia marejeo ya mechi ya jana ila ndio nimeliona goli la kijana wilson muda huu, free kick kama zile nimezoea kuziona zikipigwa na mchawi kutoka uholanzi ambaye ndiye kocha wa muda huu wa uholanzi muheshimiwa ronald koeman.

aigooooo nimeunga bando langu muda huu nataka niangalie magoli yote aliyofunga romelu lukaku tokea aanze kucheza mpira wa ushindani, dhumuni langu kubwa nataka niangalie amefunga magoli mangapi ambayo ametoka na mpira nje ya eneo la adui, amefunga magoli mangapi akiwa amezongwa na mabeki wawili na amefunga magoli mangapi akiwa na goal kipa, hizi nafasi anazopoteza ndio ziliwafanya kina didier drogba waonekane ni wafungaji mahiri haliyakuwa walikuwa hawawezi hata kupiga chenga.
najua watajitokeza wenye takwimu uchwara kumlinganisha lukaku na drogba.

kuna baadhi ya wachangiaji wanadai ya kwamba manchester united tuna average player wengi sana ukilinganisha na timu nyenginezo, hoja zao ni za msingi kiupande fulani lakini ninavyofahamu mimi inapotokezea mtoto ni mwenye tabia mbaya lawama zote huelekezwa kwanza kwa wazazi wake wawili ndipo huelekezwa kwa mtoto.
hivyo basi haitatokezea hata siku moja lawama za kufanya vibaya kwa timu zikaelekezwa kwa wachezaji ila kocha ndiye atakeyebebeshwa lawama kwa sababu ni jukumu lake kuwafanya wachezaji kuwa kwenye kiwango kwa muda wote na ndio maana wachezaji wakawekewa ratiba ya kufanya mazoezi chini ya mwalimu na benchi lake la ufundi.
  1. kama sari ball ndani ya miezi miwili ametengeneza falsafa yenye kueleweka ndani ya chelsea kwa nini jose mourinho ashindwe ndani ya miaka 3, ukimuondoa eden hazard, willian, azpiliqueta na ngolo kante chelsea kuna mwanadamu gani wa ajabu?
  2. juzi nilibahatika kuangalia mechi ya arsenal dhidi ya everton nilishangazwa na nilichokiona, licha ya kuwa na average player wengi kuliko hata sisi kwenye kikosi chao ila cha ajabu arsenal wameanza kucheza mpira wa kisasa na wenye kueleweka, wanaanza chini vizuri, torreira na xhaka wanakaba na kusogeza timu kwa nidhamu, bellerin anasogeza timu vizuri kuliko valencia, aubameyang anafunga na kutengeneza mashambulizi ya kueleweka kuliko mzimu wetu unaolipwa millioni 700 kwa kila wiki, kama watafanyia kazi eneo la ulinzi basi upo uwezekano wa arsenal kumaliza top 4, na tusisahau kocha wao ana miezi mitatu tokea aanze kazi kwa nini mourinho ashindwe?
mwenye namba za muheshimiwa haraka haraka anitumie tafadhali nataka kuunga mkono juhudi za wasichana kama alivyofanya julia matatiro ,naamini huku sitakutana na kisingizio cha ukosefu wa jenereta kwenye mechi za usiku.
1537967426280.png

wanakondoo muliopotea njia unapoona huwezi kushabikia timu pinzani ya kiume basi tafuteni furaha japo kutoka kwa jinsia pinzani.
usishangae utakapoambiwa ilo goli limefungwa dakika ya 86, naona wachezaji wote jezi zao hazijachafuka, au walikuwa wanarekodi tangazo la biashara?

"We knew that if we go past the seventh we were going to be in trouble with Jones, with Eric, with Lee - not good penalty takers - but we took it all well and we missed one.”.

tofauti pekee iliyopo kati ya jose mourinho na jamali pamba maandazi ni rangi ya ngozi zao ila wote hawapendi kuandikiwa hotuba.
 
QUOTE="Yodoki II, post: 28534587, member: 254000"]Liver hawana mchezaji hata mmoja kuzidi United. Ni mipango ya kocha na saikolojia ya wachezaji. Huyo Sara ni nyoroto/soft kuliko hata Martial lakini anatupia.[/QUOTE]
Hii ni dharau kubwa narudia hii ni dharau kubwa no comment
 
Back
Top Bottom