Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Fred kapata goal safii
Kufuzu Europa leagueHivi man united mna malengo gani msimu huu? Target yenu ni ipi hasa?
Same with LiverpoolNilishasema tangu mwanzo man u ni mbwa mkali wa zamani keshakufa mwenye mbwa kasahau kuondoa bango la MBWA MKALI sasa watu wasioelewa wamebaki kukimbia bango tu. Waelewa hawajali ni kulikandamiza jini kimya kimya linasalimu amri bila maombi. Poleni.
Same with Liverpool
Gap ipi au unamaanisha epl table 2018/19?Mind The Gape
Hahaha aise...mnaweza kufanikisha ilo lengo kama mkijipanga vizuri.Kufuzu Europa league
na bado hawajakutana na zile top 4!.....Nilishasema tangu mwanzo man u ni mbwa mkali wa zamani keshakufa mwenye mbwa kasahau kuondoa bango la MBWA MKALI sasa watu wasioelewa wamebaki kukimbia bango tu. Waelewa hawajali ni kulikandamiza jini kimya kimya linasalimu amri bila maombi. Poleni.
Fargie akirudi kuifundisha Man u leo. Pogba atakuwa anaanzia bench. dirisha la usajili likifika anauzwa kabisaKulikua kuna sababu Fergie aliruhusu Pogba kuondoka for free, nadhani ni mchezaji asiye na nidhamu zaidi nimewahi kuona,
Pogba ni bora sana,Mimi pogba jamani namuona kama kwa nafasi anayocheza ni mchezaji ambaye hajakamilika pamoja na mabao mawili na improvement aliyoonyesha. Jamaa ni Giant ila Mara kadhaa alikuwa anaenda chini kilegevu sana,Kuna wakati watu hawatumii nguvu kabisa kumnyang'anya mipira anabaki anadondoka na kulala tunashambuliwa, anapoozesha mashambulizi na kasi ya timu yake hasa wanapokuwa wanavuka katikati. Nahisi anacheza sana na Kamera na mashabiki kuliko na wenzake uwanjani. Unakuta wenzake wametoka na mpira mbali ambako wameupata kwa jasho na damu wanampa yeye afanye engineering yeye anakaa nao anawasubiri waje wapinzani hata wawili watatu ili wapigane mavikumbo ndio atoe pasi(mpira Wa kizamani) hadi ananyang'anywa. Kwenye game ya Spurs alifanya hivyo wenzie walifanya kama kumsusia hivi wakamwacha apimane mibavu na maadaui aliowakaribisha mwisho akatoa tu mpira nje huku akionyesha hajaridhika. Anapewa Arm band hafu anacheza vile! Inabidi aache utoto muda si mrefu atakuwa kama Neymar manake vingi wanalingana.
Ufaransa huwa anacheza namba ngapi?Pogba ni bora sana,
Kwa kifupi yupo dispaointed sana na matarajio ya kocha wetu.
Soft midfielder, talentented, attacking minded unampaje kazi ya kukaba?
Futa maneno yako kwa kurejea alichokifanya Juve akiwa mbele ya Vidal
Na hayo siyo maneno yangu so siwezi yafutaPogba ni bora sana,
Kwa kifupi yupo dispaointed sana na matarajio ya kocha wetu.
Soft midfielder, talentented, attacking minded unampaje kazi ya kukaba?
Futa maneno yako kwa kurejea alichokifanya Juve akiwa mbele ya Vidal
Mourinho hajakisoma bado.Tafuteni kitabu cha Sir Alex kinaitwa Leading kilitoka baada ya ile autobiography...kaeleza vitu vingi sn vilivyomfanya awe succesful kwny kazi yake
Hahahah we dogo utasubiri sana....Same with Liverpool