fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,210
- 9,206
Timu yetu nzito kweli kama mashine iliyokosa grease.
Tunashambulia sawa lakini pale beki za opponent wanapokuwa wameishakaa kwenye sehemu zao.
Hatuna mtu creative wa kusukuma timu mbele kwa kasi (kama tunamtegemea pogba hatutashiriki hata europa mwakani).