OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Man u is nothing without Pogba. Hakuna ubishi..
Ile assist ya pogba sio ya nchi hii
Ile assist ya pogba sio ya nchi hii
Lukaku nae aondoke na Pogba hawa wachezaji wazito hadi akili.
Ha ha ha miili imewaelemea mzeeHahaha Lukaku alizingua sana kwenda man u.
Baada ya kuandika hivi ukaanza kucheka au!? Pogba ni mchezaji mwenye kipaji sana ila kutojitambua ndio tatizo lake kuu.Man u is nothing without Pogba. Hakuna ubishi..
barca na madrid wakimtema mchezaji jua amisha kuwa makapi!Alexis Sanchez's gets paid nearly £400k a week and his greatest accomplishment is playing the piano. One of the worst signings in PL history.
Ni mchezaji wetu anaelipwa mshahara hewa.Sanchez analipwa ngapi vile
Hapa man u mliamua kutupa pesa tu
Ni mchezaji wetu anaelipwa mshahara hewa.
Sanchez analipwa ngapi vile
Hapa man u mliamua kutupa pesa tu
Hivi ni mchezaji gani anayemsugulisha Herrera pale MUFC?
Baada ya kuandika hivi ukaanza kucheka au!? Pogba ni mchezaji mwenye kipaji sana ila kutojitambua ndio tatizo lake kuu.
Sanchez..Hivi nauliza ni mchezaji gani toka aje huyu kocha ana kiwango kizuri? ??
Pogba afadhali lakini huyu Sanchez wamechezea hela tuOngezea na Paulo pogba apo.
Sanchez analipwa ngapi vile
Hapa man u mliamua kutupa pesa tu