Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba ni bora sana,
Kwa kifupi yupo dispaointed sana na matarajio ya kocha wetu.
Soft midfielder, talentented, attacking minded unampaje kazi ya kukaba?
Futa maneno yako kwa kurejea alichokifanya Juve akiwa mbele ya Vidal
Unajua maana ya box to box midfielder? Kama unajua bila shaka utajua roles zake uwanjani

By the way hakuna mchezaji yupo exempted kukaba, hakuna hata mmoja...Pep mwenyewe kuna wakati alikua anamwambie KDB a'improve without the ball

Its simple, when we have the ball we all attacks, when we dont have we all suffer to get it back.

Hivi mbona sjawahi ona mkilalamika Smaling akifunga? Yeye ni forward? Ama Shaw akitoa assist mbona huwa hamlalamiki? Kwamba anafanya kazi isiyo yake?


Tafuta kufahamu maana ya 'team playing' I promise you bro, ukijua maana ya team playing itakusaidia kujibu maswali mengi sana katika uchambuzi wa soka
 
Jose has a history of destroying players. Sanchez only went to United for the cash 😀😀😀
 
From a Liverpool fan

Ladies and gentlemen

Butner na Bebe wana medali ya EPL wakati Slippy G hana

We are in the same Boat Now! Sote tumebakia Kuwa Ni Wana Historia tu! Our 27 yeras kwenye EPL was aslo 6 once, you'll find out soon..
Endelea Kujifariji na Mafanikio ya Ferguson yaliyobakia Kuwa Ni Historia tu.
 
IMG_0017.JPG
IMG_0018.JPG
 
Mechi ya leo ya man u vs derby county kombe la EFL inaoneshwa king'amuzi gani wadau
 
Back
Top Bottom