Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata game ya burnley tulikuwa bora sna goli kama nne za wazi tumekosa tulikuwa pungufu bado tulikuwa hatar

Mech mbovu ni ya brighton hii mech hadi bench la ufundi lilikuwa sifur
Mechi ya Brighton siyo rahisi kuitafsiri manake ilifikia kipindi nikawa naangalia mpira huku nacheka na machungu yangu. Sijui ni nini kiliikuta timu nzima. Mashabiki tu walokuwepo uwanjani ndio walikuwa bora
 
Huyu dogo kwenye game za timu ya taifa hana makosa madogo madogo kama akiwa united,kuna anayeweza kulisemea hili tafadhali?
Naamini kocha hajaweza kumjenga vema na watu Wa kucheza nae. Kwa kifupi hadi sasa kocha ameshindwa kabisa kujenga ukuta wenye maelewano
 
Lukaku huwa anakosa clear chance :YES na sio yeye tumeona Morata,Auba,Sterling,Suarez wanakosa magoli
Lukaku last season alianza kwa kasi sana but msimu huu hakuwa na pre-season so hana match fitness (same to Pogba,Matic) na mfumo anaocheza United anapewa mzigo mkubwa sana.Mara nyingi anarudi kati kutafuta mpira na mara nyingi anakuwa isolated peke yake kupambana na 2 CB + Fullbacks

Mpira wa siku hizi umebadilika sana sio wa kumtegemea striker pekee ndio wafunge magoli defenders+midfielders wanapaswa kumsaidia Lukaku/timu kufunga magoli.
One of the strenghth za Lukaku ni mipira ya juu but our midfielders wanashindwa kumtengenezea nafasi ya magoli ya vichwa
Bado naamini lukaku ni good striker and not top striker. Mshambulizi asiyeweza kumiliki mpira ktk first touch ni hasara kubwa sana
 
Ule mpango wa kumfukuza kocha bado upo au mmeufuta? Mnategemea nini msimu huu?
 
Bado naamini lukaku ni good striker and not top striker. Mshambulizi asiyeweza kumiliki mpira ktk first touch ni hasara kubwa sana
You must accept every human has his strength and weakness ,there are strikers with good first touch but they cant match him in scoring goals(primary job of striker),currently he is 26th in all time premier league goalscorer
 
Magoli anayokosa Lukaku mengi ni kuchelewa kufanya decision mwili wake ni mkubwa anachukua muda mwingi kufanya decision so ni rahisi kipa/mchezaji kumkaba/kumzuia
Halafu kuna nyumbu zina mfananisha Lukaku na King Drogba... dah! Aise!!
 
Manchester United's target? Win the league? European success?

No, something a bit more pressing...
40619894_10156920431758598_6083343200758530048_n.jpg
Dah ndo target ya Mourihno msimu huu???
 
Binadamu mwenye akili ya kawaida hawezi kumfananisha Lukaku na Drogba kwa idadi tu ya magoli.

Uyo atakuwa na akili za nyumbu.
Watanzania tuna tatizo moja kubwa la kutotambua tofauti za fikra. Na watu wa fikra km hizi wakipata nafasi za uongozi wanakuwa madikteta hadi kwenye familia.

Hata FIFA kuchagua mchezaji bora wanapiga kura, that's the only short cut but not a concrete and absolute selection factor. Wanatambua tofauti ya mtazamo na fikra.

Amechaguliwa Luka, dunia imegawanyika.
 
You must accept every human has his strength and weakness ,there are strikers with good first touch but they cant match him in scoring goals(primary job of striker),currently he is 26th in all time premier league goalscorer
Yeah it's true but personally I think he doesn't deserve to be the main man for the biggest club in the world like Man United
 
John Terry believes Jose Mourinho needs "personalities" like Frank Lampard or Didier Drogba at Manchester United.
FB_IMG_1536427635376.jpg
 
Back
Top Bottom