Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread


20180905_134924.png
 
VAR kuanza kutestiwa EPL baada ya International Break.

Mbeleko United nawaona mtakavyotaabika
 
Ni vigumu kukwepa kuongelea Mfumo katika magoli anayokosa, kimsingi Lukaku ni Finisher hawezi kufanya Mbwembwe zozote zaidi ya kufunga. Ni mchezaji anayetakiwa kutulia ndani ya 18 na kulishwa mipira amalizie kazi ambayo anaimudu vizuri (Refer magoli mengi anayofunga akiwa timu ya Taifa na hata Man Utd). Magoli mengi anayokosa hata ukiangalia vizuri magoli aliyokosa mechi iliyopita ni yale ambaye anakuwa ametoka kukimbia umbali mrefu hadi kufika golini hivyo pumzi inakuwa imeshamuishia na anashindwa kufanya maamuzi ya haraka
Kuna ukweli hapo khs Lukaku. Umenifanya nami sasa nimuelewe na sintomlaumu tena.
 
Tony Adams: For me, Jose's the best. I saw players crying when he left Inter. He did a wonderful job there. Don't underestimate this man, he's the best. Given the time, the players will all end up loving it.

I had Andreas with me in Granada and I had a lot, a lot of conversations with him. After the last game of the season, Jose immediately sent me message: Tony, I love this player. I think he's going to be great for United. Let me talk to him.

He loves players. This whole media game is for you (the media). He takes all the pressure on him to relieve his players. He's brilliant. The man is brilliant. #mufc

the_true_red_devils-20180906-0001.jpg
 
YES wanakosa je kwa kiasi gani??? sawa na Lukaku?? ungeangalia hii mada ilipoanzia usingeniuliza hivi sababu nilishasema mkuu

IMG_9983.JPG
Hizo ni takwimu za msimu uliopita.
IMG_9984.JPG
Hizo ni takwimu za msimu huu mpaka sasa, Lukaku anakosa magoli lakini sio kama matop strikers kama Kane, Salah na Aguero wanavyokosa.
Tatizo kubwa la Lukaku ni kuchelewa kufanya maamuzi.
 
Naona kama Darmian safar imefika jina halipo michuano ya ulaya

Jina lipo.

*Man Utd Champions League squad confirmed*

*Goalkeepers*: David de Gea, Lee Grant, Sergio Romero

*Defenders*: Victor Lindelof, Eric Bailly, Phil Jones, Chris Smalling, Marcos Rojo, Diogo Dalot, Luke Shaw, Antonio Valencia, Matteo Darmian, Ashley Young

*Midfielders:* Paul Pogba, Juan Mata, Jesse Lingard, Andreas Pereira, Fred, Ander Herrera, Marouane Fellaini, Nemanja Matic, Scott McTominay

*Forwards*: Alexis Sanchez, Romelu Lukaku, Anthony Martial
 
Hahahhaha,mkuu @Radika,tunakomenti kwa zamu kulingana na matokeo ya timu.
Hata ukiangalia comments nyingi humu hazikuwepo pindi tulipochezea kwa spurs.
Kimsingi hatukatai timu kufungwa bali tunafungwa vipi na tunacheza vipi ndio kitu cha msingi kwa upande wangu.
Kati ya game zetu zote tulizocheza,binafsi nilifurahia mpira tuliocheza dhidi ya spurs ingawa ndio game tuliyopigwa kwa aibu zaidi.
Sawa kabisa ila hata ya Burnley tulichecheza vizuri sana ukitoa uchovu Wa lukaku na uvivu Wa pogba japo aliimprove kidogo
 
Back
Top Bottom