Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uzi wa leo..labda Pogba atabadilika awe kama yule wa juve kwenye huu uzi wa pink,,kama ilivyokuwa kule juve kwenye uzi wa pink
manu-18-19-away-kit%20(1).jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goals scored since the start of the 2017/18 season:

️ Salah, Mane & Firmino: 104

️ Manchester United: 104

Wow.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda hivi vitakwimu uchwara sio vya kukopi na kusambaza baada ya hayo magoli wamebeba nini? United walikuwa na safu mbovu ya ushambulizi walibeba had europa.
 
Mourinho vs martial

Sane anaambiwa hivyo vipi mourinho kwa martial nawaza tu

Leroy Sane ameachwa kwenye kikosi cha Manchester City ambacho kitacheza dhidi ya Newcastle United hapo baade, sababu kubwa ni tabia yake mbovu katika kujituma.

Pep Guardiola anaamini kwamba anatakiwa kutuma ujumbe kwa winga huyo na kuamua kumuondoa kikosini , hasa baada ya kutoridhishwa na jitihada za Sane katika mazoezi.



FB_IMG_1535894512126.jpg
 
United XI vs Burnley: De Gea, Valencia, Shaw, Lindelof, Smalling, Matic, Fellaini, Pogba, Lingard, Sanchez, Lukaku.

Subs: Grant, Bailly, Young, Fred, Herrera, Martial, Rashford.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom