Kwa hiyo juve walikuwepo wakina zonz? Kante hawez kumfanya pogba ang'ae kama uliangalia final na crotia walishindwa kwenda sawa kante alitolewa ni yeye tu kuifanya akili yake kuwa yupo sawa na baadhi ya wenzie pale kinachomfanya pogba achemke united naona anafikir yeye ni special sana kwenda bench ni kazi lakin france alikuwa na watu aneo lake kwenda bench ni rahisiApo man u hakuna viungo kama akina Kante Ngolo, Zonzi.. Ndo maana hang'ai na sio kwamba hapendi kubadilika.!
Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi luke shaw ndiye mchezaji wetu bora kwa mechi nne tulizocheza, amevumilia shutuma zote alizokuwa akibebeshwa na kuamua kuzifanyia kazi na leo hii waingereza na vyombo vyao wamekaa kimya.Lindolef hachez kabisa mipira ya juu akiruka na mshambuliaji lazima aanguke ila katakuwa poa kwa mech ya jana nilitumia muda mwingi kumuangalia yeye nilichogundua tunahitaj jemedali mmoja ndipo dogo aendelee kukomaa taratibu umri wake bado mdogo kocha ajae atafaidika sana ni hizo damu changa pia diogo dalot yupo poa nimemuona kweny under 23 juz japo anatumakosa umr nae bado miaka 19 hii ina maana kama shaw ataendelea na kiwango chake bora suala la mabek wa pembeni tunaweza kuanza kulikimbia hapo wakirudi wakina fosu mensah na axel tuanzebe na demitr mitchel na bailly timu ipo suala ni uvumilivu tu.
Kweli point mkuu shaw bado cross tu ila one against one yupo vizur alishirikiana vizur sana na sanchez naona shaw anacheza kwa kuingia ndani ya box la aduiupo sahihi luke shaw ndiye mchezaji wetu bora kwa mechi nne tulizocheza, amevumilia shutuma zote alizokuwa akibebeshwa na kuamua kuzifanyia kazi na leo hii waingereza na vyombo vyao wamekaa kimya.
luke shaw anatupa mfano tosha ya kwamba jose mourinho hana chuki na wachezaji ila hampendi mchezaji asiyejituma.
ila bado shaw anatakiwa alifanyie kazi suala la upigaji krosi hayupo vizuri sana ukimlinganishana walinzi wengine kama leighton baines.
Nashabikia team moja na mke wangu....Hivi sumbai ni shabiki wa team
E&K
Lukaku at 25 has already scored same EPL goals (104) as your legend despite playing 30 less gameLukaku na samatta bora samatta
E&K
Apo man u hakuna viungo kama akina Kante Ngolo, Zonzi.. Ndo maana hang'ai na sio kwamba hapendi kubadilika.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jose knew how to play mind games, he is now playing his own mind.Jose know how to play mind games
Lukaku at 25 has already scored same EPL goals (104) as your legend despite playing 30 less game
Ole Gunnar Solskjaer
Appearances-235
Goals-91
Dennis Bergkamp
Appearances-315
Goals-87
What are you trying to tell us?
Comparing Lukaku with Drogba just because he is now level with him interms of goals scored in EPL is typical madness.Lukaku at 25 has already scored same EPL goals (104) as your legend despite playing 30 less game AND
Ryan Giggs has won more trophy than your club
Mkuu we ni me au ke?Liverpool na Tottenham zimepangwa katika makundi ya kifo katika upangaji wa makundi huku Manchester United ikitupwa kwa Ronaldo.
Katika upangaji huo wa ratiba ya hatua ya makundi uliofanyika Monaco, Spurs imepangwa kundi B ikiwa pamoja na Barcelona, PSV na Inter Milan.
Liverpool iliyocheza fainali msimu uliopita ipengwa kundi C pamoja na mataji wa PSG, Napoli na Red Stars
Manchester United watakutana na nyota wao wa zamani Cristiano Ronaldo baada ya kupangwa na mabingwa wa Serie A, Juventus.
Ronaldo, ambaye alichezea Man United kati ya 2003 na 2009, amejiunga na Juve kwa gharama ya pauni 99.2milioni Julai baada ya kucheza kwa miaka tisa Real Madrid.
Wapinzani wao wengine ni Valencia na Young Boys katika Kundi Group H.
Mabingwa wa England, Manchester City wametupwa Kundi F, pamoja na Shakhtar Donetsk, Lyon na Hoffenheim.
Mabingwa watetezi Real Madrid, wamepewa kundi rahisi wakiwa Kundi G pamoja na Roma, CSKA Moscow na Viktoria Plzen.
Makundi
Kundi A: Atletico Madrid, Dortmund, Monaco, Club Brugge
Kundi B: Barcelona, TOTTENHAM, PSV, Inter Milan
Kundi C: PSG, Napoli, LIVERPOOL, Red Star Belgrade
Kundi D: Lokomotiv Moscow, Porto, Schalke, Galatasararay
Kundi E: Bayern Munich, Benfica, Ajax, AEK Athens
Kundi F: MAN CITY, Shakhtar, Lyon, Hoffenheim
Kundi G: Real Madrid, Roma, CSKA Moscow, Viktoria Plzen
Kundi H: Juventus, MAN UTD, Valencia, Young Boys
Huyo ni ripota, ni mshabiki wa Man Utd ila kila thread anaitendea haki sawa sawa.
Always namkubali jamaa, anafanya kazi aliyoelekezwa.Safi sana mkuu tunatakiwa kuipenda timu kwa hali zote
Tumuamini kocha alipocheza fellain ndo pengo la bek mzoefu umeona timu ilivyokuwa na balansi???
Anapoteza nafasi nyingi sanaSamata anahangaika genk lukaku kishatoka huko hebu tuhakikishie ukweli wa mawazo yako umetumia kigezo kipi mkuu?
Tumpe muda atakaa sawa tuAnapoteza nafasi nyingi sana
Hivi unajua vipigo mlivyopokea kama lukaku angezitumia vizuri nafasi alizopata hizo match msingepoteza
E&K
Kuna maeneo ambayo bado Mou hajaamua nani anapaswa kuanza kikosi cha kwanza, mfano beki za katiLakini mbona zidane first eleven yake ilikua inajulikana pale Madrid,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mnasahau hizo chance ame craete yeye mwenyewe kwa juhudi zake kupitia kasi yake na kuwapa nyama mabeki upinzani. Chance zile aina ya striker kama kina Kane na Morata hawawezi kuzitengeneza
Hii video ingeanzia alipotoka, kuanzia hapo alipokosa goli ni kumkosea heshima
Sawa mkuu, nakuona upo active sana kwenye baadhi ya nyuzi ambazo pengine mtu anaweza kuchukulia kama za kiume. Mfano soka, Series na kule kwenye nyuzi ya vichekesho.Ke
Man u
R Madrid