Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dahh.......ilibidi niamke usiku kuangalia gemu la Barca Vs Santos...........nikarudi kulala tena......duuhh NO DOUBT!! BARCA....is the Best in the WORLD..............
YES.... nadhani wamefikia ile rekodi ya akina Cruyff
 
Wayne-Rooney-goal-QPR-vs-Manchester-United-_2692742.jpg
 
Nimfurahi kumuona Carick amefunga kuna mashabiki wanamponda sana,SAF alikuwa anachemsha kumchezesha Valencia fullback na Rooney midfielder.Uzuri kuwa confidence ya timu imerudi
 
1: Carrick kwa utumbo anaochezaga kaka, hata ww bila shaka huwaga unamponda...jamaa anapasi za kusakizia sijapata kuona...very poor ktk ku win back lost balls...jamaa anarudishaga mipira nyuma mda flan bila hata sbb, imagine ndo mido mpanga mashambuliz hyo...yaan n *****.

2.Sidhan kama SAF alikua anamchezesha Valencia beki kwa kupenda..unajua n wachezaj wtu wangap walikua wodini.

Hadi mwaka mpya lazima kieleweke tu.
 
Valencia hana mbwembwe za kijinga kama Young na Nani,Rooney alianza kuchezeshwa kiungo akawasahau kabisa kufunga,naamini kuna wachezaji kutoka Academy wanaoweza kuziba nafasi kuliko kumchezesha mtu namba isiyo yake.Mfano kwa sasa SAF anatakiwe ampumzishe Evra ampe nafasi yule dogo Fryers
 
....heheh,...mbona mnanyosheana vidole nyie? presha?
 
Presure unayo wewe na timu yako ya mawazo, ukiwa mshabiki wa Arsenal lazima uwe umekonda tu muda wote na huwezi kuangalia mechi bila ya kuwa na panadol/diclophenac au Diclopar mfukoni. Full time ni ayaaaaaaaaaaaah! Ayaaaaaaaaaaaaaah! kosa kosa kibao
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
images
brewing storm...hehehe!

'humu ndani tunadiscuss klabu yetu ya manure........blah blah blah blah....'

Presure unayo wewe na timu yako ya mawazo, ukiwa mshabiki wa Arsenal lazima uwe umekonda tu muda wote na huwezi kuangalia mechi bila ya kuwa na panadol/diclophenac au Diclopar mfukoni. Full time ni ayaaaaaaaaaaaah! Ayaaaaaaaaaaaaaah! kosa kosa kibao
 
Vijana wameanza kurejesha confidence.Pamoja na ushindi lakini boda tunahitaji kiungo wa ukweli.
 
Habari za ICU, vipi Equilpys ana hali gani chacha? Naona mmeanza kurejea taratibu .... ... maumivu yakizidi tunaye daktari wa JF khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mfarisayo ka-ghairi kubadili jina baada ya juadhiriwa.

BTW nachikia mtacheza kwenye CL ... ..... ati timu kubwa inakubali kubebwa na mbeleko khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Mngekuwa timu kubwa mngebebwa? Aibu.
 
Bahasha zimetembea.......

BTW niko na furaha...mbaya wetu Chaliiiiiii! na bado JT.
 
Back
Top Bottom