Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Evra jaman kachoka..yaan anashambulia vzur kuliko hata anavo defend..ila simlaumu...misimu zaid ya mitano anacheza tuuuu....
 
Nachompendea Valencia huwa hana mbwembwe kama Nani na Young akipata tu upenye anapiga cross bila kuchelewa kama Dan Alves vile

Yeah ni kweli kabisa jamaa huwa harembi kabisa,naona Young now anasugua bench maana kwanza Valencia yupo vizuri na strong pia....
 
Yani watu huwa wanamlaumu tu Rio kwamba kachoka ila kwa kweli Evra amekuwa uchochoro sana yani kila mtu anapita tu kwake kama hamna mtu vile

Yaa ule upande naona kuna njia kidogo maana ndio wameona sehemu nyepesi kuliko huku kwa Smalling,no Ferdinand hajachoka na wala wasimtoe yupo vizuri sana sema evra naona amelega kidogo
 
Evra jaman kachoka..yaan anashambulia vzur kuliko hata anavo defend..ila simlaumu...misimu zaid ya mitano anacheza tuuuu....

Kijana amechoka sana maana kila mechi yupo huwa haumii ovyo kabisa...na huwa anapiga full 90 mins...amuingize tu yule kijana mdogo
 
Kijana amechoka sana maana kila mechi yupo huwa haumii ovyo kabisa...na huwa anapiga full 90 mins...amuingize tu yule kijana mdogo

Si kwamba kashuka kiwango ila tatizo amechoka kwa kucheza mechi nyingi sana so anahitaji kupumzishwa mechi kadhaa, kwa sasa inabidi Ezekiel Fryers acheze kwa muda
 
Si kwamba kashuka kiwango ila tatizo amechoka kwa kucheza mechi nyingi sana so anahitaji kupumzishwa mechi kadhaa, kwa sasa inabidi Ezekiel Fryers acheze kwa muda

Sana na huyo dogo ni mzuri kwa kweli anapiga mpira sana,naona mzee anamuacha tu Evra sio mbaya lakini bora ushindi tu ndio mpango mzima....
 
Dahh.......ilibidi niamke usiku kuangalia gemu la Barca Vs Santos...........nikarudi kulala tena......duuhh NO DOUBT!! BARCA....is the Best in the WORLD..............
 
Game over atleast sasa pressure imeisha sasa tusubirie tuone hiyo game nyingine,ila leo nitakuwa upande wa Arsenal
 
Dahh.......ilibidi niamke usiku kuangalia gemu la Barca Vs Santos...........nikarudi kulala tena......duuhh NO DOUBT!! BARCA....is the Best in the WORLD..............

Mh!!!!!!
 
I'm the money u fan not spectotor....Inaniuma kuona mpaka leo hatuna kiungo cha kutumainiwa...Where r u shneijder,leo kama kawa pointi 3,then tuone kama city watapumua?
 
I'm the man u fan not spectotor....Inaniuma kuona mpaka leo hatuna kiungo cha kutumainiwa...Where r u shneijder,leo kama kawa pointi 3,then tuone kama city watapumua?
 
Back
Top Bottom