Manda
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 2,071
- 306
Manda bana Wacha kamba enjoy the games today ..... ...
Cheers broda!
Manda bana Wacha kamba enjoy the games today ..... ...
Samahanini sana Mashetani.........Wakuu hivi gemu la Santos na Barca ni saa ngapi?.........
Hamshkiki wapi nyie?? lig ilipoanza mlikimbza thana, bt thatha hali yenu tete, wenyewe mnajua!!
Jaman naulizia game ya Barca na Santos itakuwa sa ngapi za kibongo leo???:A S 465:

Man utd 1 QPR 0
1' W. Rooney
Hii game tukishinda itakuwa powa sana
Valencia naona form yake inarudi sasa ndio maana inabidi aanzishwe tu....