Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mi namuheshimu sana mourinho ni kocha mzuri sana duniani na ukitaja makocha kumi bora duniani jina lake lipo
Nachoona kuna kampeni wachezaji wameianza wakiongozwa na pogba Sanchez na de gea

E&K
Hawamtaki kocha.
 
Acheni kumsingizia Ed, Mourinho alimtaka Baily na Lindeloof, akapewa. Sasa anataka nini? Haiwezekani yeye anataka wachezaji kisha akiletewa hawafai anataka wengine. Hapana. Apambane na hawa hawa kama vipi auze January apate mpunga anunue anaotaka.

Hakufeli wao ndo waliokuwa wakipinga kwa mfano tobby na magure walikuwa wanataka kuja bodi ikazuia leo aliezuia akikuwepo uwanjani goli zimefungwa kwa njia zile zile
 
We Love You Lukaku
GBWA-20180828014302.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man Utd mna mioyo miyepesi sana. Mechi 3 tu mnaanza kumwaga machozi, misimu 2 mnatafuta fimbo mchapane. Arsenal tulivumilia since 2007 cjui 2008 no kuvutana mashati. Vumilieni for next 7 yrs kama sisi. Mwanamme hutakiwi ukimbie mji sababu mvua imegoma kunyesha
 
MO aingie akacheze?
Zile nafasi kakosa Lukaku na Pogba mtu kama Kane,Salah,Mane,Firmono,Lucas Maura,mtu kama Hazard anaku panish!
Unamzunguka hadi kipa wala haupo ktk tight angle lkn unakosa sasa MO afanye nn?
Bao mbili beki anashindwa nguvu na Lucas,anapiga mbele yao pamoja na kuweka mguu na ingine bad timing tackle ya Smalling!
MO apewe hela afumue kikosi mtakuwa OK
 
Man Utd mna mioyo miyepesi sana. Mechi 3 tu mnaanza kumwaga machozi, misimu 2 mnatafuta fimbo mchapane. Arsenal tulivumilia since 2007 cjui 2008 no kuvutana mashati. Vumilieni for next 7 yrs kama sisi. Mwanamme hutakiwi ukimbie mji sababu mvua imegoma kunyesha
Laana ya Mzee Ferguson,hawajamjengea mnara wake hadi leo
Akifa ndiyo watajenga?
Team ina laana haitapata mafanikio
 
Yes ndio maana nakuambia ni kikosi kinachoweza kuwapa matokeo na sio wale akina bolingoli striker mzigo mzito kama gunia la misumari

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiacha ushabiki maandazi itapendeza sana. Katika hao mastriker uliwabandika hapo kuna striker yoyote anayemzidi Lukaku magoli.? Ok labda hilo ni gumu nitajie striker aliyemaliza na magoli zaidi ya 20 kama Lukaku katika misimu 5 iliyopita.

Nyie mashabiki wa Liverpool mnasifa mno. Acheni lawama mtu kupotea game mbili sio ndio mbovu bhana. Unataka kuniambia Sanchez mbovu.? Hiyo inatokea hata kuna baadhi ya siku unakua off mood. Sometimes ukibadilisha mazingira inakuwia vigumu au inachukua muda mrefu kucope mazingira mapya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man Utd mna mioyo miyepesi sana. Mechi 3 tu mnaanza kumwaga machozi, misimu 2 mnatafuta fimbo mchapane. Arsenal tulivumilia since 2007 cjui 2008 no kuvutana mashati. Vumilieni for next 7 yrs kama sisi. Mwanamme hutakiwi ukimbie mji sababu mvua imegoma kunyesha
Kwani hadi leo si bado unavumilia
 
Back
Top Bottom