Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu huku ndan kuna watu wanauelewa mdogo sana kuhusu Football
Hatar sana mkuu nimeshangaa hata juhudi ndogo tunazidharau ujue wengi tuliikuta timu kwenye hali nzur ndo mana kufarakana hakuish kipind hiki
 
Umu ndani kuna nipa raha sana jinsi watu walivyo na muono tofauti ingawa wote ni wapenzi wa timu moja
 
Kitu pekee ambacho mourinho anaweza ni kuifunga Tottenham hata kama ina moto kiasi gani
Najua kesho mtashinda au mtapata sare kati ya haya mawili ila sio kufungwa
Mkifungwa ni zaid ya uzembe

E&K
 
Inawezekana pia na hao wenye uelewa mdogo wa football unaowasema wewe,wanakuona pia na wewe una uelewa mdogo tu vilevile..

Sent using Jamii Forums mobile app

Na Hiyo Ndiyo Sifa Ya Washabiki Wa Kibongo! Ukitofautiana naye Mawazo tu Katika Mpira, Siasa au Dini Basi atakwambia Una uelewa Mdogo.

Tena cha ajabu Unakutia anayemwambia Mwenziwe Kuwa ana uelewa Mdogo Wa Mpira Yeye Hajawahi Kucheza Hata Chandimu.
 
Lukaku sio type ya Mourinho usiseme United

watu wa Mourinho Ni Eto'o, Ibrahimovich, Drogba if you know what i mean

muangalie Lukaku wa Everton au Belgium halafu nioneshe tofauti yake na Nestrlooy
Ni kama pogba wa ufaransa na pogba wa man u

E&K
 
Lukaku sio type ya Mourinho usiseme United

watu wa Mourinho Ni Eto'o, Ibrahimovich, Drogba if you know what i mean

muangalie Lukaku wa Everton au Belgium halafu nioneshe tofauti yake na Nestrlooy
Ila nadhani national timu brilliance na approach vilimbeba Lukaku. United tunataka aibebe timu. Tatizo la controll linampa shida. Ni finisher mzuri km timu inatawala game japo hata kwenye finishing atakuwa behind legends km Ruud Van, Andy Cole na hata Berbatov. Ila physique na mipira ya juu yupo powa

Ball Control inamtesa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mishabiki ya manure kila siku mnagombana kwani timu ni moja tu ya kushabikia? Kesho mkifungwa si ndo mtatafutana nani mchawi aise?!
kuna timu nying za kushabikia ..Bolton uko, QPR, Blackburn...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa ni wale mashabiki wa kitaa wanachojua kwenye mpira ni Mourinho kocha mbovu! Full stop huwezi waambia kitu wakaelewa na hao ni wakuachwa waendelee kuumia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huwezi kuumia na lolote lile kwako sawa tu kwa sababu hata timu yenyewe yawezekana umeanza kuifuatilia baada ya ujio Wa Mourinho. Na inaonyesha huwa unazunguka nae, yaani alipokuwa Chelsea ulikuwa shabiki Wa chelsea, alipoenda Inter ukaelekea huko,alipokuwa Madrid ukatokomea nae na sasa kaja kwenye timu yetu umemfuata. Ungekuwa mshabiki Wa kweli Wa Man U ungeumia sana na mpira mbovu inaocheza hii timu. Na shida siyo kufungwa au kufunga bali ni tunafungwaje? Tunashindaje? Timu inaposhinda watazamaji mnakuwa na roho mkononi na kutokuwa na uhakika hadi dakika ya mwisho,na mbaya zaidi haijalishi mnacheza na timu gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom