Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu hata mm nakubaliana na wewe kwamba timu inacheza vibaya lakini kuna sababu za kuwa hivyo sio kocha tu hilo suala linakwenda had kwa ed
ED ndiyo anafundisha mpira??

hivi ubora Manchester hii utaifananisha na ya LVG?? kama sio mbona ile ilicheza mpira mzuri na wachezaji walikuwa wa kawaida
 
ED ndiyo anafundisha mpira??

hivi ubora Manchester hii utaifananisha na ya LVG?? kama sio mbona ile ilicheza mpira mzuri na wachezaji walikuwa wa kawaida
Sasa wanaotaka kubeba bango la kufukuzwa kwa ed hawajajua nani kocha?

Van gal alicheza mpira mzur kwa nini alifukuzwa?
 
Shabiki wa kitaa ni shabiki gani??..tuheshimiane aisee..mtu humjui usianze kumtengenezea image zako za kipumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha pole sana mi sikutengenezei image ila ww mwenyewe unajitengenezea kwa majibu yako unachotaka ni kuhalalisha chuki yako dhidi ya kocha.
By the way jumatatu home game karibu tucheki live game

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wanaotaka kubeba bango la kufukuzwa kwa ed hawajajua nani kocha?

Van gal alicheza mpira mzur kwa nini alifukuzwa?
LVG alitimuliwa sababu hakudeliver kile timu inataka je JM amedeliver??
 
Unajua wewe hunielewi..liverpool alimfunga city gemu zote za uefa pamoja na ligi moja..so liverpool walikuwa bora kushinda city kwa asilimia 75 msimu uliopita kwenye gemu walizokutana..sisi tumekutana la mtu aliyetoka kujeruhiwa two times tena uefa,,unadhani hata kiakili walikuwa sawa..ile gemu tulicheza nini zaidi ya kubahatisha bahatisha!!??..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kinachopelekea timu kupoteza mechi ni combination of factors. Vilevile Liver hakutufunga game yeyote last season lakini kamtandika City aliyetuchapa game moja.

Hakuna timu top 6 aliyempiga United back to back last seaon. That is not incidental ma friend, it is a tactical factor and a team quality.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kucheza UEFA sio?? haya acha tugombanie top 4 kila mwaka
Unaniuliza mimi kama ndo mwajiri hilo suala ni la bodi mkuu mi nnachofanya ni kusapot timu tu mana hata nifanyaje kocha yupo pale wao ndo wakumtimua cha kushangaza mwez wa kwanza walimpa mkataba wakat huu ndo ulikuwa mwaka wake wa mwisho sasa kwa nini wamefanya vile mimi na wewe hatujui
 
Unaniuliza mimi kama ndo majiri hilo suala ni la bodi mkuu mi nnachofanya ni kusapot timu tu mana hata nifanyaje kocha yupo pale wao ndo wakumtimua cha kushangaza mwez wa kwanza walimpa mkataba wakat huu ndo ulikuwa mwaka wake wa mwisho sasa kwa nini wamefanya vile mimi na wewe hatujui
nilichogundua kwenye hii comment hata wewe humtaki tena JM ila huna namna

GGMU
 
nilichogundua kwenye hii comment hata wewe humtaki tena JM ila huna namna

GGMU
Mi nipo kati atoke sawa abaki sawa mana hata kocha ajae hamna mwenye uhakika kama atafanya poa

Ndo mana nnachosemaga ktk post zangu huwa nasapot timu na mtu aliopo na ajae lazima kuwa na akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom