Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Unajaribu kuwapa moyo unadhani wao wenyewe hawaijui timu yao. Leo ni kamba kwenda mbeleKatika Timu Niliyokuwa Siiamini Basi Ni Spurs Mbele Ya Man United.
Spurs Kwa Man U huwa haina lolote na Sidhani Kuwa Mourinho Ni Mjinga Wa Kupoteza Back-to-Back.
Unaiongelea Liverpool golini kuna gunia Karius?Ndugu hata Liverpool yako unajua kutoka moyoni kupata matokeo kwa morinyo ni droo unawapa spurs kazi ngumu, japokuwa Mimi ni blue team yangu ikikutana na special one lolote linatokea spurs atakufa kiulaini Kama Liverpool anavyifungwa kiulaini (aKatika Pitia yangu sijakutana na bandiko mujarabu Kama hili, mpe morinyo wachezaji anaotaka akupe ubingwa
Unajaribu kuwapa moyo unadhani wao wenyewe hawaijui timu yao. Leo ni kamba kwenda mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Si Kwamba Nawapa Moyo Man United ila hapa sizungumzii ushabiki Bali nazungumzia Mpira.
Hapo nimeangalia Points 2 muhimu.
1) Spurs Mara Nyingi Huwa Hana Matokeo Mazuri ndani ya OT.
2) Mourinho Maranyingi Huwa Hakubali Kupoteza B2B.
√ Kwahiyo naitabiria Mechi Man United anashinda au itakwenda Sare.
Note: "Sijasema Kuwa Spurs Hawezi Kushinda".
Kwa sare nitakubaliana na wewe.
1. Kwa suala la historia kuna upande wa pili wa shilingi. Tottenham watataka kuondoa uteja kwa Man utd kama ambavyo jana Chelsea wameutoa wa Newcastle.
2. Mechi ya leo itawategemea sana wachezaji kuliko Mourinho. Kwa press conference ile ya Ijumaa kuna kila dalili Mou hana command na dressing room yake. Hivyo iwe, 'wachezaji hawataruhusu B2B loss.' Na wakiamua hili, kwa hakika Tot hawezi pata matokeo leo.
3. Nyongeza ni, Tottenham haijabadili wachezaji hivyo wanafahamiana na makosa waliyoyafanya msimu uliopita wote walikuwepo na kuna positive kuwa watayafanyia marekebisho.
Kutokusajili mchezaji pia kunaweza kuwa motisha kwa wachezaji kuwa kocha anawaamini wote hivyo hakuona haja ya kuongeza mchezaji mpya.
If I was betting ningeweka shilingi yangu Tottenham leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Kumbuka Ninyi Mulimu-Overpower Newcastle kiasi Ya Kwamba Hakuwa na Pakutokea!
Lakini Spurs Hana uwezo Wa Kumu-Overpower Man United.
Mimi Kama Kubeti basi Ningempa Man United.
I believe too kuwa Tottenham anao uwezo huo pia. The icing on the cake ni kuwa, they have the full backing ya coach na dressing room haina factions.Lakini Kumbuka Ninyi Mulimu-Overpower Newcastle kiasi Ya Kwamba Hakuwa na Pakutokea!
Lakini Spurs Hana uwezo Wa Kumu-Overpower Man United.
Mimi Kama Kubeti basi Ningempa Man United.
Ndugu hii game ni ngumu sana kwetu Man U,na ikitokea tukashinda basi mpaka mpira unamalizika mioyo yetu itakuwa imechanikachanika kwa hzo kosakosa na hii itasababishwa zaidi na tutakapoanza kutumia ule mfumo wetu Wa kupaki basi kama ilivyozoeleka. Ila kocha akiwapa wachezaji Uhuru Mkubwa Wa kushambulia na kujilinda kwa mpango Wa kueleweka basi spurs watapata tabu sana.Watu wana mu-underate sana Mourinho, ila Big Games jamaa anajua kuzipangia strategy.
Hii game itakuwa ngumu kwa Tottenham zaidi kuliko kwa Man Utd.
Man Utd siwapendi lakini naomba leo washinde.
Ndugu hii game ni ngumu sana kwetu Man U,na ikitokea tukashinda basi mpaka mpira unamalizika mioyo yetu itakuwa imechanikachanika kwa hzo kosakosa na hii itasababishwa zaidi na tutakapoanza kutumia ule mfumo wetu Wa kupaki basi kama ilivyozoeleka. Ila kocha akiwapa wachezaji Uhuru Mkubwa Wa kushambulia na kujilinda kwa mpango Wa kueleweka basi spurs watapata tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante na iwe hivyoWatu wana mu-underate sana Mourinho, ila Big Games jamaa anajua kuzipangia strategy.
Hii game itakuwa ngumu kwa Tottenham zaidi kuliko kwa Man Utd.
Man Utd siwapendi lakini naomba leo washinde.
Mkuu unachelewa mpe faster kabla Odds hazijashukaLakini Kumbuka Ninyi Mulimu-Overpower Newcastle kiasi Ya Kwamba Hakuwa na Pakutokea!
Lakini Spurs Hana uwezo Wa Kumu-Overpower Man United.
Mimi Kama Kubeti basi Ningempa Man United.